Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,679
- 6,518
aysee,me ningeanza na dada yake kabisa.acha uzembe mkuu,we vp wewe?aarghmkuu christmas keshokutwa nataka nikamtawanye huyu mtoto maana dadaake mwenyewe ananipa go ahead
aysee,me ningeanza na dada yake kabisa.acha uzembe mkuu,we vp wewe?aarghmkuu christmas keshokutwa nataka nikamtawanye huyu mtoto maana dadaake mwenyewe ananipa go ahead
ni rafiki wa dada yangu so na yeye ni dada piaHeadline yako ya uzi ina ukakasi mno hasa kwa sisi Watumiaji wa Kiswahili sanifu kabisa. Hivi inawezekana kweli DADA AKAKUPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE? Je Headline yako ingekuwa MFANYAKAZI MWENZANGU WA KIKE ANANIPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE isingependeza Mkuu? Wengi wetu hicho Kichwa chako cha Habari tumekielewa kama vile Dada yako wa damu kakupigia pande kwa mdogo wake na ndipo ulipotuchanganya hapo Mkuu. Siku nyingine jitahidi mno kuweka Headline yako ieleweke na iwe very striking ili ivutie hata kutiririka nayo. Ni ushauri tu lakini usianze kumaindi na ukanipovukia bure!
kwani wewe unataka uombwe baada ya muda gani? kwangu siku tatu tu zinatosha, inabidi upajue homeWatu wa karne hii sio wa mchezo mchezo....
Yaani mwanamke umekutana nae Leo halafu jioni unaomba papuchi, wengine mpaka wiki ndio hupewa papuchi,
Kwani hamwezi kukaa nae bila kumuomba papuchi hata miezi mpka mwaka mzima....
Badilikeni wanaume....
Mungu wangu!!!!!ni rafiki wa dada yangu so na yeye ni dada pia
Nilikustiri na "udomo zege"aawa umekuja huku kusema?kwa kweli sitokuita dada nitakuita shem au sio