Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Patamu dk chache tu, ila pakikutenda utajuta maisha yako yote.wewe ni mmoja wa watu ninaowaelewaga, ila pale kati patamu
Patamu dk chache tu, ila pakikutenda utajuta maisha yako yote.wewe ni mmoja wa watu ninaowaelewaga, ila pale kati patamu
AhahahaMe siwezi.. mpitie ila kuwa makini tu ila Mungu hapendi
Maana huwezi jua wamepanga nini. Umakini tu unahitajikaAhsante mtani nitazingatia neno kwa neno
msinyimane ....imeandikwa [emoji1] mkuuuSometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya mdogo wake kuja kuishi naye.
Mwanzoni alinambia nataka uwe shem wangu kwa hiyo ongea naye dogo atakuelewa tu nikamwambia poa kisha nikapotezea, sasa hiyo siku dada kanipigia tukaongea kisha akanambia ongea na dogo, nikashindwa kukataa, katika kuongea naye nikamtongoza maana mtoto mwenyewe 'sio wa nchi hii' ila mtoto akavunga, baadaye dada kanipigia anauliza vipi nikamwambia bado somo halijamuingia vizuri akasema usjali.
Kesho yake akapiga akampa tena kuongea naye akaelewa, hata sijui alimpanga vipi, sasa huyu mtoto sikuwa na mawazo naye kabisaa je, nikimgonga sina future naye si ndio mwanzo wa kutengeza uhasama huu, na madada wa humu unaweza fanya kitu kama hiki au ulishawahi kufanya?
NOTE: Huyu dada tulikuwa tunaheshimiana sana before.
pointHeadline yako ya uzi ina ukakasi mno hasa kwa sisi Watumiaji wa Kiswahili sanifu kabisa. Hivi inawezekana kweli DADA AKAKUPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE? Je Headline yako ingekuwa MFANYAKAZI MWENZANGU WA KIKE ANANIPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE isingependeza Mkuu? Wengi wetu hicho Kichwa chako cha Habari tumekielewa kama vile Dada yako wa damu kakupigia pande kwa mdogo wake na ndipo ulipotuchanganya hapo Mkuu. Siku nyingine jitahidi mno kuweka Headline yako ieleweke na iwe very striking ili ivutie hata kutiririka nayo. Ni ushauri tu lakini usianze kumaindi na ukanipovukia bure!
......................[emoji125] dag..mkuumi mbona mazali ya hivo siyapati....usichezee zali la hivo man ....bandua tu ....uskute wanakupima kama nawewe ni Omy dimpoz....
wewe umebadilika.......kweli?Watu wa karne hii sio wa mchezo mchezo....
Yaani mwanamke umekutana nae Leo halafu jioni unaomba papuchi, wengine mpaka wiki ndio hupewa papuchi,
Kwani hamwezi kukaa nae bila kumuomba papuchi hata miezi mpka mwaka mzima....
Badilikeni wanaume....
aysee,me ningeanza na dada yake kabisa.acha uzembe mkuu,we vp wewe?aargh
msinyimane ...imeandikwa mkuuUsifanye uchafu wa zinaaa, kama unania ya kumuoa muoe 2, kwan hivo heshima ndo itazidi cna kuliko kufanya huo uchafu.