Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Sawa dada nitafanya hivyo, yaani sasa hivi hata nikimpigia simu sister nimpe hai anampa moja kwa moja mdogo wake

Kwahiyo dogo hana simu!!
Ila angalia usijevunja heshima ulojiwekea, hicho kilichomvutia huyo dada hadi aone unamfaa mdogo wake.
 
kampime MIMBA na UKIMWI, Pengine ana kimimba kimekataliwa na mwenyewe atafutwa mlezi, au usikute dada ameridhika na tabia zako, ameona unamfaa mdogo wake, ila kama huna mpango wa kuoa achana nae, si bure kuna sabab dada anayofanya. JIONGEZE.
Halafu wewe ndo maana NAKUPENDA sana
 
Hapo kuna mambo kadhaa, kwanz huenda Dada yake amekuamin hivyo ameona bora amkabidhi mdogo wake kwenye mikono salama pili isijekuwa tayari mjamzito wanakutega ili ulee na dada ameona una uwezo huo tatu Dada anataka akuozeshe maana mabint siku hz hawachelewi kupigwa mimba wanaishia kuwa single mother so kuwa makini. Umeaminiwa sasa kama huna mpango nae ni bora usimguse maana haitaishia kugombana na Dada mtu Bali hadi urafiki wake na Dada yako unaweza kuharibika kwa issue hiyo
 
kampime MIMBA na UKIMWI, Pengine ana kimimba kimekataliwa na mwenyewe atafutwa mlezi, au usikute dada ameridhika na tabia zako, ameona unamfaa mdogo wake, ila kama huna mpango wa kuoa achana nae, si bure kuna sabab dada anayofanya. JIONGEZE.

Hilo nalo neno!!!!!.....!
 
Pwani ni mambo ya kawaida haya
Rafiki yangu nikiwa Bagamoyo aliwahi nitongezea dada yake waliyefuatana
Alipokuja gheto mm ikawa kupiga tu
Nikaona ni mila ya ajabu sana hii
Kyela nikikukuta na dada yangu nakupiga bakora
 
Umesema sio wa nchi hii?,,,make sure you represent well our country....utie eshima mkuu
 
Kuna chimbo limevuma huko la BRUNEI, umelisikia? Watakupopoa mawe
 
Pwani ni mambo ya kawaida haya
Rafiki yangu nikiwa Bagamoyo aliwahi nitongezea dada yake waliyefuatana
Alipokuja gheto mm ikawa kupiga tu
Nikaona ni mila ya ajabu sana hii
Kyela nikikukuta na dada yangu nakupiga bakora
Sawa mtani
 
Sometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya mdogo wake kuja kuishi naye.

Mwanzoni alinambia nataka uwe shem wangu kwa hiyo ongea naye dogo atakuelewa tu nikamwambia poa kisha nikapotezea, sasa hiyo siku dada kanipigia tukaongea kisha akanambia ongea na dogo, nikashindwa kukataa, katika kuongea naye nikamtongoza maana mtoto mwenyewe 'sio wa nchi hii' ila mtoto akavunga, baadaye dada kanipigia anauliza vipi nikamwambia bado somo halijamuingia vizuri akasema usjali.

Kesho yake akapiga akampa tena kuongea naye akaelewa, hata sijui alimpanga vipi, sasa huyu mtoto sikuwa na mawazo naye kabisaa je, nikimgonga sina future naye si ndio mwanzo wa kutengeza uhasama huu, na madada wa humu unaweza fanya kitu kama hiki au ulishawahi kufanya?

NOTE: Huyu dada tulikuwa tunaheshimiana sana before.te
 
Back
Top Bottom