Dada agonga pampu ya kujazia mafuta

What a deadly danger!
Haya magari yetu automatic haya....mi siyapendi sana!
Mungu ameepusha sana hatari ambayo ingeleta historia katika eneo hilo!
 
Vituo vingine huwa wanaweka chuma kuzunguka pamp ili kuzuia ajali kama hizo.
 
shilingi ngapi hiyo inauzwa? isijekuwa sawa na garama ya icho kigari chake...hahaha.
 
Unajua siku izi kila mtu ana gari na mtu akinunua gari anadhani amenunua na ujuzi wa kuendesha kumbe sivyo!
Pole sister!
 
hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia.
 
Dada alikuwa anaendesha kwa mbwembwe na alikuwa amewapakia mashosti huku akiwa amevaa tinted machoni kilicho mkuta ndo hicho alitaka sifa sasa zimemgarimu
 
Dada alikuwa anaendesha kwa mbwembwe na alikuwa amewapakia mashosti huku akiwa amevaa tinted machoni kilicho mkuta ndo hicho alitaka sifa sasa zimemgarimu

Hii gari niliiona jana asubuh pale iringa central police sikujua kama imepata msala kama huu na n mwanaume ndo alikuwa anaiendesha kwa mbwembe parking pale kituon.
 
wengi madem ,,hawajui magari ,,magari ya mikopo,,itabidi akauze kiwanja atengeneze pump...ya mafuta
 
Kuna nchi wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari, right?
 
bado najiuliza ni vipi ameifikia hyo pampu
alikuwa katika mwendo gani hata pawe na madharamakubwa hvyo
 
Ilikuaje akafikia hiyo pump!!! loh!!
..Mbwembwe tu hapo..unaweza kukuta alikuwa analonga na buzi lake kwenye blackberry yake kutahamaki kitu hiki...anaongeza moto badala ya breki..noma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…