Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Mbege na kitimoto ni kinga ya ukimwi kama ulikuwa hujui. Next time ukiwaintavyuu wanachama wangu unalazimika kuomba kibali kwangu. Ole wako Daby angetoa siri za chama... ndo ungejua Paw hana vyeti feki....
Mapengo hayo uliyonayo mdomoni, hiyo nyama ya kitimoto ilisagwa kwanza nini?
Babu wacha fix
 
Hivi chuganian wale waliokuwa wanaandika majina ya wasumbufu darasani sa iv wanakazi gn eti eee???[emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nahisi watakua waandishi wa umma
 
Haha labda walete caborn14

Msalimie mama p
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] teh teh labda....
Kwa jinsi nlivyojipanga hakyanani itadunda hiyo carbon 14
 
swali kwa Daby eti mkuu mpaka sasa tupo wanachama wangapi wa CHAPUTA?
 
Huu uzi umeniongezea confidence ya kutongoza manzi yeyote yule duh hongereni wakuu mlioanzisha hii thread
 
Back
Top Bottom