Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Mamdogo hiyo comment aliyoqoute Raven ni ya kwako kweli?bamdogo mm na ww wanataka kutugombanisha tu
Mamdogo hiyo comment aliyoqoute Raven ni ya kwako kweli?bamdogo mm na ww wanataka kutugombanisha tu
Hii hapahahahhh anao wengi humu mpk kashindwa kuwaongelea
mm hapa bamdogo [emoji134]
Hii sijui niiteje maana siyo cocktail tena
sio yangu bamdogo kuna mtu nipo nae alishika simu yanguMamdogo hiyo comment aliyoqoute Raven ni ya kwako kweli?
Mmh mbona sikumbuki kama niliandika hivi bamdogoHii hapa
Wewe jamaa ulikua na umri gani std V?Sikuacha....
Hapo ilikuwa standard 4. Standard 5 mwanzoni nikaja kutongoza tena ila hapa nilijenga mazoea saana kwanza hivyo nilipokuja kumwapproach hakuleta zengwe kama aliyenisababishia mkon'goto alinikubalia.
Mamdogo walai haya tu wewe..... tutakutana nyumbani tu wewesio yangu bamdogo kuna mtu nipo nae alishika simu yangu
Haha master unafikiri hata mimi najua basi....
[emoji85] [emoji85]Mamdogo walai haya tu wewe..... tutakutana nyumbani tu wewe
Haya ila chunga vidole vyako vitakuponzaMmh mbona sikumbuki kama niliandika hivi bamdogo
Ni poa cuzoomzima cuzoo za week end
11....Wewe jamaa ulikua na umri gani std V?
Umemsoma ba mdogo wako?mekuja cuzoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mamdogo hiyo comment aliyoqoute Raven ni ya kwako kweli?
Nitamwombea ban ya jukwaa pendwa aone atakavyokonda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umeanza lini wewe haha[/QU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mpo kwenye juhud za kijisahaulisha ugumu wa maisha.
Mkimaliza intavyuu kumbuken kilo ya unga ni 2300
Nami nmewah siti kusubir intavyuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.
Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.