Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Akikijibu asante, huwa unachukua hatua gani??Unaanza hivi
Mambo sister
Poa
Nikwambie kitu
Ndio
Mwenzio nakupenda.
Basi kazi imekwisha
Mi ndo navyofanyaga[emoji57][emoji57][emoji57][emoji41]
akiniambia AsanteAkikijibu asante, huwa unachukua hatua gani??
Yaan mm toka nijue namna mpya ya kupata mademu bhc sihangaiki....nyuchi saiv n nyng mpk zngne nazikataa,nazipa refferal....
Tafuta hela.... boldedTafuta hela mdogo wangu,mambo ya kusimamisha mdada wa watu na kuanza kumpa sound,na mistari mireeefu,tulifanya kaka zako,enzi hizo mpaka mwisho wa miaka ya 1999s,kabla ya smart phone na Social networks,
Sasa HV unaanzia wapi kupiga sound,unaye mpiga sound yupo bize na smart phone muda wote?
Tafuta hela kwanza mengine utazidishiwa
Hataaaa. Niko kawaida sana.utakuwa ni mrembo sana, maana si kwa idadi hiyo ya watongozaji
Nmesoma comments nyingi hum naweza zifanyia majaribio kwako samahan lkn[emoji26]Hataaaa. Niko kawaida sana.
Mwanamke hata aweje anatongozwa
Majaribio gani?Nmesoma comments nyingi hum naweza zifanyia majaribio kwako samahan lkn[emoji26]
Huwa wanachukuaga namba vizuri tu? Kama rafiki wakileta mitongozo ndo wanakutana na block!Tuseme tu hivyo.
Mtu akinitongoza akianza usumbufu namblock.
Block list yangu ina watu kama 80 hivi na kati ya hao nadhani 70 ni kwa sababu ya kunitongoza.
Unaanza hivi
Mambo sister
Poa
Nikwambie kitu
Ndio
Mwenzio nakupenda.
Basi kazi imekwisha
Mi ndo navyofanyaga[emoji57][emoji57][emoji57][emoji41]
AsanteMwambie unataka kuingiza kojoleo yako katika kojoleo yake
Lipia tangazoooo😂😂Umenichekesha ila wasukuma tunamambo ukimyatia mdada anajifanya unic namwacha tu atakapokuja kujua title yangu huwa wananifuata kunitongoza hapo sasa
Akiwa real mimi moyo hujampenda sio tatizo languHuwa wanachukuaga namba vizuri tu? Kama rafiki wakileta mitongozo ndo wanakutana na block!
why lakini, block inauma kiukweli, afu unakuta ndo ivo mtu yupo for real na wala si masihara
Itakua bahati kwelibasi una bahati, maana wanasema usiombe uzuri omba bahati
Hahaha naunaonekanaga unawatoa nishaiAkiwa real mimi moyo hujampenda sio tatizo langu
Suala sio mkono mtupu ni mtu hujampenda halafu shobo ziko online siweziHahaha naunaonekanaga unawatoa nishai
Nawao hawajui kama mkono mtupu haulambwi.
Kwa hiyo wewe tunakupataje sasa bila kukutongoza...!?!Tuseme tu hivyo.
Mtu akinitongoza akianza usumbufu namblock.
Block list yangu ina watu kama 80 hivi na kati ya hao nadhani 70 ni kwa sababu ya kunitongoza.
Kweli mkuuHahahahaha eti hata watoto wa form tu....hamna mkuu haya mambo hayana watoto wala wakubwa