Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
jaribuni kutafuta kazi za marketing, kwanza zipo nyingi alafu hawakulipi ila unajilipa mwenyewe, kikubwa ninachopendea hizi kazi ni exposure, inakupa confidence, inakufanya unakuwa mbunifu na kufikiri zaidi.
binafsi katika kutafuta kazi tena kwa kupitia zoom nilipata kazi ya sales kwenye kampuni ya furnicher posta, natafuta mteja nikipata nnalipwa 4%, na bado mhindi anakata kodi, katika kazi hiyo hiyo nilifahamiana na watu wengi, lakini baadae nilipata kazi nyingine nzuri ya ofisini.