Livingbuddy Richie
Member
- Jan 15, 2013
- 12
- 3
duuh, pole sana ndugu yng ila cjui kwa nn umeteseka ivo. kwani una GPA ya ngapi? 7bu hiyo c2ation yako ina2tisha 2liopo chuo huku
Polisi sitaki kabisa kuwasikia. Jamaa waliwahi kunivuta korodan zangu. Sitaki kabisa hata hilo jina. Mavi mavi tu wale
Ivi ccm bado ipo bro?..
Mkuu natumai kb52 ni mwanaume. Usimkompee na mwanamke plse.
Fanya mitian ya nbaa ..ukipass omba kweny audit firms utapata ...accounting is a tough but rewarding profession ..pia Muombe sana Mungu na usiache kwenda kanisani /mskitini ...serikalin ni ngumu sana kupata kama huna referee these days
Unajua ma-ujanja ni kusifu na kumwabudu Mungu. Kipengele hiki watu wanakiona cha kishamba au kilichopitwa na wakati lakini kinafungua vifungo vingi sana, kinakupa kazi unayotaka, kinakuwezesha wewe kuishi kwa kujiamini.