mzaramo halisi
Member
- Jul 8, 2013
- 94
- 25
pole sana jamaa. yaani stori yako inahuzunisha
Wazo zuri kaka. Nashukuru Mungu nilipata hela ya kujisajiri tu kwenye bodi hiyo ya NBAA. Sasa ni kama mwanachama tu na Nilitegemea ningepata ajira ningekua nafanya kazi huku nasoma...sasa sina hata pesa ya kulipia mitihani hiyo na hata pesa za maandalizi ingawa nnaouwezo kabisa wa kufaulu bila kurudi nyuma. Na kiujumla mitihani hiyo haihitaji ujiandae huku ukiwa na stress kama time hii nilivyo. Natamani sana lakin ndio ivo bro. Kwani hakuna kitu napenda kama kusoma.....Hua nahisi ni kusoma ni kama hoby kwangu.
Ah!! Mbona tayari una ajira. Watu wote hao uliofahamiana nao kwenye mishe za kuomba kazi ni mtaji tosha kukiingiza kipato. Imagine ungekuwa unawauzia vest,socks,pyfume au mashuka. Amka bro.
Ha ha haa,pole sana ndugu yangu utapata tu usikate tamaa.Polisi sitaki kabisa kuwasikia. Jamaa waliwahi kunivuta korodan zangu. Sitaki kabisa hata hilo jina. Mavi mavi tu wale
Haha! Mkuu mbona umenivunja mbavu!! hicho unachosema ni biashara nayeye kasema hana mtaji.wewe uliwezaje?
KIUKWELI duniani kote ukitaka hela lazima uwe na hela, hata ajira sometimes inataka hela (rushwa).Wahitimu wengi wameshazi set mind zao KUAJIRIWA kuliko KUZALISHA AJIRA.Kujiajiri kuna mitihani na challenge nyingi kam ilivyo kuajiriwa.Watu wengi wanajua tuu kutoa ushauri mwepesimwepesi kwenye mambbo magumu.
Ajira inauhusiano mkubwa haya yafuatayo:-
1. Good network na watu
2.Information kuhusu kazi
3.Nguvu ya ushawishi kwenye usahili
4. Uwezo wa kitaaluma
5. Uzoefu wa kazi (with good records)
6. Bahati pia inahusu.
mkuu jaribu jeshini au polisi.