Daaa! Huyu demu jamani

Daaa! Huyu demu jamani

Kama ana mtu wake,muelewe na uachane naye.
Kumbuka dhambi ni tamu kwa kitambo tu.
Usipende kuwapotezea watu malengo yao.
 
Hata uliyenaye ulimuelewa sana kabla hujampata ila leo hii unamuelewa mwingine na unataka kumtema wa zamani.

Jamani mapenzi haya ni kuridhika tu na uliyenaye. Hata uwatafune vipi huwezi kuwamaliza habadani!!
 
Endelea kum Care huku ukisubiri mshikaji wake amzingue serious hiyo ndo siku utajilia vyako kiulaini

Angalizo na kuachwa Ni hivyo hivyo kama jamaa atajirudi
 
wallet yangu haifunguliwi kizembe hivyo inaenda kwa bajeti..unalishwa kuku nusu na chips pamoja na beer kadhaa usipolainika unapotezewa mazima
All I care about is money and the city that I'm from
I'ma sip until I feel it, I'ma smoke it till it's done
And I don't really give a ***, and my excuse is that I'm young
And I'm only getting older so somebody shoulda told ya I'm on one yeah,
 
Some Women just love to Cook.
Nimeshawahi kua na jirani wa kike kama mtoa mada.
She had other responsibilities, lakini mwisho wa siku akipika lazima na mimi niwepo kwenye share.
Na nikikataa she feels bad.
Soo it was never an option.
Na hao ndio wanawake aina nyingine kwenye jinsia weka others
 
Daaah!! week mbili kama zilizopita kuna demu moja hivi alihamia mahali nilipopanga, kwa kweli demu ni mzuri yaani nimetokea kumuelewa vibaya mno.

Huyu manzi huwa ananisaidia sana kwenye issue za msosi maana naweza nikanunua mboga then yeye anafanya makeke huko baadaye mzee mzima napakuliwa nakaribishwa. Na ukiangalia mimi hapa nakaa peke yangu so sometimes kupika huwa nachoka sana so kuja kwake nimeona kama ni mkombozi kwa kweli.

Tatizo ni kuwa demu nimetokea kumuelewa lakini sasa ananiambia ana mtu wake na anampenda sana lakini nikajaribu kumuambia tutoke out za usiku wala hakatai na hapa ametoka amesafiri na nimemwambia akirudi nitamtoa out twende tukale dinner na kusikiliza music katika moja ya pub nzuri sana hapa town.

Wale wataalam wa mbinu za kufanya huyu demu aje anielewe nifanyaje jamani roho yangu itatulia nikiona nalala naye kitanda kimoja kuhusu kama kweli ana mshikaji wake mimi I don't care kabisa maana haya maisha ni kama mbio za kupokezana vijiti.

Nawatakia siku njema

No hurry in Africa. So long as mtu karidhia kukupikia, tena anakupikia chakula unakifurahia na kesho tena waenda means kakuelewa. Haraka zako zitakufanya ukose vyote; mapishi na mpishi.
Zidisha kumjali pasipo kutanguliza tamaa zako mbele, soon utakuja kutoa ushuhuda hapa kuwa kashaongezeka kwenye orodha ya THE NUMBER OF WOMEN YOU'VE UNDRESSED SO FAR.
 
All I care about is money and the city that I'm from
I'ma sip until I feel it, I'ma smoke it till it's done
And I don't really give a ****, and my excuse is that I'm young
And I'm only getting older so somebody shoulda told ya I'm on one yeah,
Too much money ain't enough money...you know the feds listenin, nigga what money?
 
I'm a made nigga
I should dust something
You niggas on the bench
Like the bus coming
Hakuna sehemu naipensa kwenye hii nyimbo kama hapo
"You niggas on the bench
Like the bus coming" kipindi hicho 2012-2013 kichuo chuo miksa boom na ndinga mshua keshaniachia basi mziki mnene tukifika kituo cha basi lazima tuseme hio sentensi hahahaha maisha ni matamu sana...
 
Nyie mlikuwa wahujumu uchumi wa wakat huo
 
Nyie mlikuwa wahujumu uchumi wa wakat huo
Hakuna mwana enzi hizo mafuta ya gari lita ni around 1700 - 1940 mafuta ya 10,000 unaenda chuo na kurudi wikend maisha club kiingilio 7,000 boom chuo wamekupa 650,000 kwa siku 60 maisha yanaenda vizuri sana hapo
 
Mkitoka out nunua dawa mchanganyie kweny kinywaj
 
Kashakuambia ana mtu wake heshimu sana huo ukweli
 
Hakuna mwana enzi hizo mafuta ya gari lita ni around 1700 - 1940 mafuta ya 10,000 unaenda chuo na kurudi wikend maisha club kiingilio 7,000 boom chuo wamekupa 650,000 kwa siku 60 maisha yanaenda vizuri sana hapo
Daaah ila national cake ambayo nimeifaidi vizuri ni boom aiseeeh. 100% sio mchezo. Sijui lini nitaanza kulipa pesa ya walipa kodi.
 
Endelea ku keep urafiki ataanza kukupima kati ya jamaa yake na wewe nani binadamu au nani mtu.?
 
Daaah ila national cake ambayo nimeifaidi vizuri ni boom aiseeeh. 100% sio mchezo. Sijui lini nitaanza kulipa pesa ya walipa kodi.
Aisee habari yake si mchezo mimi nimeshaanza kuirudisha joto lake si mchezo makato yake hadi roho inauma nataka ninichange nikalipunguze mwenyewe..
 
Mwanamke wa hivyo hawataki haraka, ukifanya papara utakiwa umejihalalishia ban, yaan jitolee haswa ataelewa taratibu. Pengine hana hata mshkaji anakupima tu. Jua wazi anajielewa sana huyo dada, hivyo jipange taratibu, mletee zawadi mara kwa mara, mpigie simu kila unapopata nafasi, mda flani omba kumtembelea ofisini ama mkaribishe ofisini kwako kama mpo jirani pia. Pia weka huduma kwake mfn nunua msosi kila mwezi, sometimes lipa hata room yake
 
Back
Top Bottom