DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,658
- 30,170
Safi sana mkuu ndio uzalendo huoAisee habari yake si mchezo mimi nimeshaanza kuirudisha joto lake si mchezo makato yake hadi roho inauma nataka ninichange nikalipunguze mwenyewe..
Safi sana mkuu ndio uzalendo huoAisee habari yake si mchezo mimi nimeshaanza kuirudisha joto lake si mchezo makato yake hadi roho inauma nataka ninichange nikalipunguze mwenyewe..
hahaha...yaani ww ndo kama mm yaani nimeitandika kweli kweli isee kurudisha ni majaliwa hiyo mzee baba....kwanza hiyo pesa ilitakiwa watu wapewe kama kiinua mgongo wa kuteseka kutoka vidudu mpaka form six maana msoto wake ni balaa isee.....mm mpaka waje wanipatie kazi ndo wataanza kukata pesa yao wasiponipatia kazi basi ndo bye bye! hiyoDaaah ila national cake ambayo nimeifaidi vizuri ni boom aiseeeh. 100% sio mchezo. Sijui lini nitaanza kulipa pesa ya walipa kodi.
Hiyo Dada hana kazi ya kufanya mpaka apate mda wa kukupikia, yaani unamaanisha ni mama wa nyumbani?
ni mwanafunzi diploma mwaka wa pili chuo X ndo wamerud kutoka likizo so muda mwingi anakuwa magetoni so mzee baba napeleka mboga nayojisikia kula then anakorofisha
Hapa ndio unafail sasa,mrembo bila pochi nene utampata wapi?wallet yangu haifunguliwi kizembe hivyo inaenda kwa bajeti..unalishwa kuku nusu na chips pamoja na beer kadhaa usipolainika unapotezewa mazima
Mim nikimpata kama huyo wala sitongozi kwa sauti, bali ataanza kupika, itafuata kufua shati, mara suruali, mara mashuka, mara taulo mara atanitengea maji ya kuoga baada ya hapo atajiongeza mwenyewe na akishindwa kujiongeza unaleta demu mwingine wa kupiga naye story tuu chumbani kwako then uone kama hajapagawa.
Tafuta uzi wa kula papuchi kimasihara utakuja nishukuru mkuu
mzee tayar tumeshaopoaJaribu mbinu hizi
1. Muulize simu yake inaleta jina gani ikipokea pesa
2. Mwambie akupe akaunti namba yake na jina pia.
Kamanda acha kuwa mbwiga kanuni ni hii Kata pochi kata pochi kata pochi wee kata tu.
Maana inaonesha mdomo wako una ujauzito
Daaah!! week mbili kama zilizopita kuna demu moja hivi alihamia mahali nilipopanga, kwa kweli demu ni mzuri yaani nimetokea kumuelewa vibaya mno.
Huyu manzi huwa ananisaidia sana kwenye issue za msosi maana naweza nikanunua mboga then yeye anafanya makeke huko baadaye mzee mzima napakuliwa nakaribishwa. Na ukiangalia mimi hapa nakaa peke yangu so sometimes kupika huwa nachoka sana so kuja kwake nimeona kama ni mkombozi kwa kweli.
Tatizo ni kuwa demu nimetokea kumuelewa lakini sasa ananiambia ana mtu wake na anampenda sana lakini nikajaribu kumuambia tutoke out za usiku wala hakatai na hapa ametoka amesafiri na nimemwambia akirudi nitamtoa out twende tukale dinner na kusikiliza music katika moja ya pub nzuri sana hapa town.
Wale wataalam wa mbinu za kufanya huyu demu aje anielewe nifanyaje jamani roho yangu itatulia nikiona nalala naye kitanda kimoja kuhusu kama kweli ana mshikaji wake mimi I don't care kabisa maana haya maisha ni kama mbio za kupokezana vijiti.
Nawatakia siku njema
Tafuta uzi wa kula papuchi kimasihara utakuja nishukuru mkuu
Hiyo Dada hana kazi ya kufanya mpaka apate mda wa kukupikia, yaani unamaanisha ni mama wa nyumbani?