D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

nakuelewa, which means ilikuwa ni mchoro wa watu wote wale waliobaki kwenye ndege (ma pilot, engineer, flight attendant) na Cooper aliyeshuka airport Washington Takoma.

Tatizo na hiyo theory at least to me ni kwamba ina watu wengi mno. Dola laki 2 alizopewa gawanya kwa watu watano ni $40,000. Ambayo kwa hela ya leo ni kama $ 230,000 kila mmoja.

Hicho kiasi hakijazidi sana mshahara wa pilot. Sasa kwa nini ma pilot wahatarishe career yao (na maisha yao pia) kwa kufana ujambazi mgumu namna hiyo?

Simulizi inasema, hela alizotupewa walizipiga picha iliwaweze kuzifatilia, na wamejaribu kuzifatilia hazijapatikana. Hata kama kila mmoja alichukua dollar elfu 40, alizipeleka wapi?
 
Km hawa Vinara wa masuala ya usalama na upelelezi walisalimu amri,ujue kwamba jamaa alianza kufikiri kama wao kabla ya tukio,Halafu akafikiri kama yy ili KUKAMILISHA TUKIO ktk njia ambayo hata wana usalama wakifikia kubaini basi yeye awe kishabaini plan B AU C nyingine iliyo bora ZAIDI....
 
Naona tunawaza kitanzania zaidi.
Tunapo-conclude kuwa mchezo mzima ulimalizwa kwenye ndege na jamaa alishuka na mateka tujiulize;

1. Kama alishuka na mateka ina maana hakuonekana kabisa kabisa na wahudumu wote wa uwanja na wana usalama wote pamoja na FBI!
Lile begi la mapesa na ukubwa wake halikuonekana kabisa jamani!

2. Kama alishuka pale uwanjani, ni nani aliwafungia wale wahudumu wanne kwenye cockpit yaani pilot wawili, fundi na yule dada mhudumu maana tunaambiwa Cooper ndiye aliyewafungia, tena ndege ikiwa imeshapaa.
Kwa hiyo dhana ya kusema jamaa alishuka na abiria pale uwanjani inafutika kabisa.

3. Ni dhahiri wakati wametua kwenye uwanja wa Reno Navada ile usiku, (ambao ni lazima ulikuwa na ulinzi wa kutosha) waliomba msaada kwa wanausalama wawafungulie mlango wa cockpit kwa sababu walikuwa wamefungiwa na mtaalam Cooper. Na kama mlango ulionekana umefungwa kweli, basi ni dhahiri kabisa Cooper aliruka kwenye ile ndege, yaani aliondoka nayo na hakufika nayo.

4. Tunapohitimisha kuwa lile ni dili lililopangwa na FBI, ina maana hawakufikiria kabisa kuwa zile noti zingekuwa recorded! Walishindwa kufanya maandalizi ya kumpanga kabla mtu/watu watakatoa wazo la kuchukua alama za zile noti ili wafanye tofauti au wasitoe wazo! Kwa sababu huyu ndiye aliyeharibu dili kwa kiasi kikubwa.

5. Kama kweli hii ni dili iliyochezwa na watu wengi, basi walifanikikiwa kwa kila hatua kiasi kwamba kila mhudumu wa wiwanja vyote viwili alijua kila kitu kwa kweli walikuwa wasiri sana.

KAMA HAWA JAMAA WANGEKUWA WANAWAZA KITANZANIA KAMA SISI KWA KUWA NA MAJIBU RAHISI KWA MASWALA MAGUMU, NI DHAHIRI MAJIBU YANGESHAPATIKANA SAA 24 TU MARA BAADA YA NDEGE KUTUA NEVADA. MTU/WATU WANGEKUWA WANAOZEA JELA SASA HIVI.
Mimi nadhani kuwa hakuruka na parachute pale ila alijaribu kuwadanganya FBI kuwa karuka ila akajificha kwenye hiyo ndege
Suala la pesa nadhani alienda kuziweka ili kuzidi kuwachanganya FBI na kuwaaminisha kuwa aliruka na parachute
Kama ni kweli nikiyosema hapo juu
SWALI KUBWA linakuwa ilikuwaje akashuka kwenye ndege pale uwanjani bila mtu kumuona au alijificha sehemu gani kwenye ndege ambayo ilimfanya asionekane maana naamini waliikagua ile ndege baada ya kutua
 
Km hawa Vinara wa masuala ya usalama na upelelezi walisalimu amri,ujue kwamba jamaa alianza kufikiri kama wao kabla ya tukio,Halafu akafikiri kama yy ili KUKAMILISHA TUKIO ktk njia ambayo hata wana usalama wakifikia kubaini basi yeye awe kishabaini plan B AU C nyingine iliyo bora ZAIDI....
Swadakta! Sahihi kabisa mkuu.. Kwa maoni yangu nimebaini kuwa wahalifu wengi waliofanikiwa kwa kiwango cha juu; kwanza waliplan kwa muda mrefu na walijaribu kufikiri kwa namna ambayo watakaokuja kuwatafuta watakuwa wanafikiri kisha wakaongzea akili na mbinu zao.. Walikuwa wanafikiri miaka miwili au mitano mbele na waliweka mikakati mbadala A, B, C!!

Mtu mwenye uwezo wa kung'amua kitu utakacho waza kabla wewe mwenyewe haujakiwaza au kujua mbinu utakayotumia kabla mwenyewe haujaipanga ni ngumu mno kumkamata kwani mara zote atakuwa mbele kimawazo na kimkakati! Wewe ukifikia kuwaza 2 mwenzko amekwisha waza 3 na 4! Naamini D.B Cooper alikuwa ni mtu wa kaliba hii.
 
kwa mtazamo wangu huu mchezo ni sawa na ule wa wizi wa almasi kule ubelgiji..........
concl yangu kwa hii case ni kwamba wahusika waku ni wafanyakazi wa huko huko fbi kwa sababu hakuna uwezekano wa kupanga tukio 100% likafanikiwa.....osama aliishi ouside usa lkn akapatikana iweje wamkose cooper aliyeko ndan ya usa....
alafu napata doubt kwanin huyu mwnye kituo cha skydiving aliuliwa na hao hao fbi
 
The bold unasimulia utadhani ulikuwepo.

Yaani km Mkandala Lufufu kwny kutafsiri movies. Chukua mikoba yake jamaa una kipaji.

Niko nawaza km kweli huyu 'kiumbe' D. B. Cooper alikuwa na uwezo na akili gani?

Bora FBI wangetangaza kumsamehe ajitokeze wamuajiri kabsa ili awape mbinu zake. Nawaza tu
 
nimependa matumizi fasaha ya kiswahili na bado inakuwa na mvuto,hongera The Bold.
kama nimeelewa vizuri,kesi ya cooper imefungwa rasmi baada ya fbi kukosa dokezo lolote zaidi ya zile noti za dogo Igram. sasa mbona wengine tunaulizia muendelezo? au mie sijakuelewa the bold.
 
images

images

Is-DB-Cooper-dead-or-alive-2-490x273.jpg

px011_7dc4_9.jpg

db-cooper_1468338942428_1610846_ver1.0.jpg
 
Back
Top Bottom