Cyril Ramaphosa, Jacob Zuma na Tanzania!

You sound confused.
A good deed deserves another.
Ukimsaidia binadamu mwenzio from peril its NOT slavery to expect a reciprocal good deed, unless you have your own definition of slavery.

The least to expect is a blow below the belt kwa ndege yetu kuzuiliwa huko SA.
Wewe sio tu mtumwa wa kichwani but also ni mvivu wa kufikiri unazani SA ni Tz, bunge, mahakama au dola ni Mtu moja!
 
Msiwe na half cooked indoctrination.
Hata leo nenda Marekani na uhubiri ukomunisti, na utashukiwa na mihimili yote.
Uelewe kuwa jurisdiction and the ruling law perpetuates the existing govt and way of life.
 
Zero fucks given.

Johannesburg: Shops burn, mosque targeted in “xenophobic” attacks

As well as local businesses being looted, a mosque has also been targeted by a petrol-bomb in Johannesburg, as xenophobic violence returned on Sunday.

by Tom Head

Violence linked to xenophobic tensions has engulfed parts of Johannesburg for the second weekend in a row, as hundreds of protesters ran riot across the city on Sunday. Two stabbings have been reported, and the damage to stores and public institutions has proved to be devastating in the light of day.

Xenophobic attacks in Johannesburg – latest news:

The troubles began in Jeppestown, during a speech made by outgoing IFP President Mangosuthu Buthelezi. In trying to bring peace to the area, a splinter group rebelled and ran amok in the CBD. Protests eventually spilled over into Malvern, where shops – many owned by foreigners – were burned to the ground.

Mosque targeted in Johannesburg

Sadly, the thugs orchestrating this wave of violence didn’t spare religious venues, either. The Masjid Himayatul Islam Mosque on Nugget Street was petrol-bombed late in the evening. Thankfully, law enforcement arrived on the scene rapidly to extinguish the fire. Two suspects were arrested during this incident:
Wakati tatizo la xenophobia halijaisha sasa naona hmeamua kuingiza pia Islamophobia. To hell with you.
 
Imebidi nikae chini nifikiri juu ya yanayojiri kutoka huko bondeni Afrika Kusini na mustakabali wa uhusiano wetu na hawa wenzetu wa Sauzi.

Nimewalinganisha Cyril Ramaphosa na Jacob Zuma katika kuongza Afrika Kusini na kuwalinganisha uongozi wao na Tanzania kwa ujumla.

Tulikotoka si ndwele lakini lazima tugange yajayo.
Kati ya viongozi wawili wa Sauzi niliowataja ingalau Jacob Zuma anajua kuwa kuwepo kwake pale alipokuwa Rais ni kwa juhudi za waafrika wenzake, wakiwemo waTanzania.
Mugabe aliwahi kusema mzigo mzito Zaidi katika kuikomboa afrika Kusini ulibebwa na Tanzania.
Wapigania uhuru walijengewa makambi, wakapewa passports za Tanzania na kiujumla waliishi kama vile vijana wetu wanavyoishi katika makambi ya JKT au Zaidi, tena kwa miaka au miongo kadhaa.

Zuma aliishi Tanzania.
Ramaphosa hakuwahi kuishi nje ya Afrika Kusini, na namkumbuka miaka ya 70's na 80's alikuwa kijana simple wa kupiga makelele majukwaani.
Mimi namkumbuka vizuri na madevu yake kama Bushiri.

Kuna tetesi kuwa Ramaphosa alifadhiliwa vizuri na makaburu kufika hapo alipo ili asimamie matakwa yao.
Hatushangai leo from a simple guy kawa ni Tajiri mkubwa mwenye makampuni ya biashara.

Mtazamo wa Ramaphosa unalingana sana na mtu aliyefadhiliwa na makaburu.

Kuna clip imeiona wakati wa kampeni yake ya Urais naye ali wahi kulitaja tatizo la wahamiaji walioingia Sauzi kama tatizo la wasauzi.
Mimi sina maneno na kuwachukulia hatua wahamiaji haramu maana hata Tanzania tunao.
Lakini hili la kuwachoma moto, kuwapiga na kuchoma biashara za wahamiaji, wengine ambao ni wahamiaji halali, that's a political crime.

Serikali ya Ramaphosa ingweza kuwa kusanya hao wahamiaji haramu na, kma tunavyofanya Tanzania, na kuwapeleka makwao kistaarabu.

Lakini Ramaphosa si Mtanzania wala si mtu ana uhusiano wa kindugu na watanzania na waafrika wengine, yeye ni mSauzi first.

Serikali yetu ya 60's ili wafadhili waafrika wa Afrika Kusini walipokuwa wanateswa na serikali ya kaburu.
Leo wameshika serikali, na serikali hiyo inakamata Ndege za serikali iliyowakomboa.
Wananchi waafrika wenzao Sauzi wanapigwa au kuteswa na kuuwawa, mpaka unajiuliza , hivi ni hawa binadamu tulikuwa tunakesha JKT na kuimba

"kaburu matata hiya….hiya... Kaburu matata hiya …….hiya...…"
" Kruger naye ….. tutamkata……...Kruger naye tutamkata……."

Was all that in vain?
Mwalimu na Mandea must be turning in their graves.

Kweli tenda wema uende zako!!!!
Undani wa vurugu zile unaonesha kwamba hata wahamiaji hawana stahili wanayodai. Tuwaonee huruma tu wana Sauzi maana nchi ikivamiwa na wanigeria,ni tatizo. Wema tuliowatedea isiwe ni mzigo kwako kiasi hicho. Mbona tunawachangia sherehe za harusi lakini hatudai haki ya ndoa kwa watu hao?
 
Mkuu tatizo hapa ni namna ya ku deal na msingi wa tatizo lenyewe-wahamiaji haramu.
Hata sisi tunalo tatizo la wahamiaji haramu.
Wakaguzi wanapita nyumba kwa nyumba na watu wanakamatwa na kurudishwa makwao kistaarabu.
Iwe waKenya. wa Ethiopia, Somali, Wanyarwanda au Warundi.
Kuwachoma moto, unguza mali zao ni hig NO.
 
Mkuu tatizo hapa ni namna ya ku deal na msingi wa tatizo lenyewe-wahamiaji haramu.
Hata sisi tunalo tatizo la wahsmisji haramu.
Wakaguzi wanapita nyumba kwa nyumba na watu wanakamatwa na kurudishwa makwso kistaarabu.
Iwe waKenya. wa Ethiopia, Somali, Wanyarwanda su Warundi.
Kuwachoma moto, unguza mali zso ni hig NO.

..kuna hotuba ya Mzee Jacob Zuma nitaitafuta niilete hapa jamvini.

..Mzee Zuma ameelezea vizuri sana kuhusu chanzo cha mauaji, chuki, na vurugu, zinazotokea Afrika Kusini.

..pia ametoa ushauri wa nini kifanyike ili Afrika Kusini iondokane na matatizo hayo.

..kwa upande wa waTz inabidi tujifunze historia ya ndugu zetu wa Afrika Kusini pamoja na hulka na tabia zao.

..Tunakosea tunapoamini kila raia wa Afrika Kusini anaelewa mchango wa nchi za Afrika ktk harakati za kupinga ubaguzi wa rangi na utawala wa wazungu wachache.

..Wanaoshambulia wahamiaji ni watu wa chini wenye elimu na uelewa mdogo sana. Hivyo siyo rahisi watu wa aina hiyo kuelewa na kuuenzi mchango wa nchi za Kafrika uliofanikisha kupatikana kwa utawala wa walio wengi Afrika Kusini.

..Jambo lingine ambalo waTz tunasahau ni kwamba ndugu zetu wa Afrika Kusini hata wakati wako hapa Tz walikuwa watu wa shari-shari.

..Kama walikuwa washari walipokuwa ukimbizini kwanini tunategemea hawatakuwa washari au watakuwa watulivu wakiwa nyumbani kwao?
 
Nakubaliana mkuu!
Wenzetu waSauzi ni washari, lakini hilo halimuondoi Ramaphosa from the hook.
Tunajua kuwa kuna imasikini mwingi pamoja na elimu duni kati ya waSauzi wengi.
Kitu ch kistaarabu ni serikali ya huko kwanza kuimba the right message to its people ingawaje hio ni kuingilia siasa zao za ndani.
Pili, uhamiji haramu is a crime,
Ssi hapa tuna wa round up wahamiaji haramu a kuwapeeka mahakamani au kuwarudisha walikotoka.
Huo ndio utaratibu dunia nzima

Kwamba hatujamsikia Ramaphosa akiwahubiri watu wake juu ya namna ya kuyatatua matatizo yao mpaka mauaji yanatokea, tatizo hililinamueleza vema kiongozi huyu.
 
Waliopigania uhuru hawapo tena South na wengine wameshazeeka.

Unataka nani awe rais?

Na inakuwaje unaishi kwa kutegemea fadhila?
 
Hatupigania uhuru kwa ajili ya watu fulani bali kwa heshima ya mwafrika.
Wewe leo ukilazwa kwenye choo kwa sababu ya ngozi yako, tuna hakikisha hilo linarekebishwa.

Jifunze kuelewa mada na maudhui yake.
Kufanya biashara na SA si fadhila but neccesities of life na si fadhila.
 
Unajaribu kuandika kitu unachanganya na porojo na uwezo mdogo wa kuelewa
mwisho unaandika porojo tupu

Ni lazima kabisa mjue kuwa serikali ya Africa Kusini HAIHUSIKI na kuzuiwa
kwa ndege ya Tanzania...Africa Kusini mahakama ni HURU..haiingiliwi na serikali

Ndege yetu ilizuiwa na mahakama na ikaachiliwa na mahakama

Kuhusu Tanzania kubeba mzigo wa kuisaidia South Africa..ni lazima
useme tumesaidia kwa kiwango gani msaada wetu ulikuwa na impact kubwa?
tusingewasaidia wasingepata uhuru? nani wengine wakiwasaidia?
unajua nafasi ya Zambia?

je wakimbizi waliokuja Tanzania walikuwa wangapi? waliokwenda nchi zingine je?
sisi tuligharamia kiasi gani kwa bajeti yao nzima ya kupigania uhuru?
je kina Ramaphosa na wananchi wao wanatambua yote hayo?au ni sisi tu tunaojua hilo? kuna mengi mno hayako clear zaidi ya kuongea porojo na ku mix na ukweli
Mahakama kitu gani wewe..Snowden na tuhuma zoote anazoshutumiwa na Us ..anapeta Russia...ndo kusema hakuna mahakama hongkong au China.
 
Imebidi nikae chini nifikiri juu ya yanayojiri kutoka huko bondeni Afrika Kusini na mustakabali wa uhusiano wetu na hawa wenzetu wa Sauzi.

Nimewalinganisha Cyril Ramaphosa na Jacob Zuma katika kuongza Afrika Kusini na kuwalinganisha uongozi wao na Tanzania kwa ujumla.

Tulikotoka si ndwele lakini lazima tugange yajayo.
Kati ya viongozi wawili wa Sauzi niliowataja ingalau Jacob Zuma anajua kuwa kuwepo kwake pale alipokuwa Rais ni kwa juhudi za waafrika wenzake, wakiwemo waTanzania.
Mugabe aliwahi kusema mzigo mzito Zaidi katika kuikomboa afrika Kusini ulibebwa na Tanzania.
Wapigania uhuru walijengewa makambi, wakapewa passports za Tanzania na kiujumla waliishi kama vile vijana wetu wanavyoishi katika makambi ya JKT au Zaidi, tena kwa miaka au miongo kadhaa.

Zuma aliishi Tanzania.
Ramaphosa hakuwahi kuishi nje ya Afrika Kusini, na namkumbuka miaka ya 70's na 80's alikuwa kijana simple wa kupiga makelele majukwaani.
Mimi namkumbuka vizuri na madevu yake kama Bushiri.

Kuna tetesi kuwa Ramaphosa alifadhiliwa vizuri na makaburu kufika hapo alipo ili asimamie matakwa yao.
Hatushangai leo from a simple guy kawa ni Tajiri mkubwa mwenye makampuni ya biashara.

Mtazamo wa Ramaphosa unalingana sana na mtu aliyefadhiliwa na makaburu.

Kuna clip imeiona wakati wa kampeni yake ya Urais naye ali wahi kulitaja tatizo la wahamiaji walioingia Sauzi kama tatizo la wasauzi.
Mimi sina maneno na kuwachukulia hatua wahamiaji haramu maana hata Tanzania tunao.
Lakini hili la kuwachoma moto, kuwapiga na kuchoma biashara za wahamiaji, wengine ambao ni wahamiaji halali, that's a political crime.

Serikali ya Ramaphosa ingweza kuwa kusanya hao wahamiaji haramu na, kma tunavyofanya Tanzania, na kuwapeleka makwao kistaarabu.

Lakini Ramaphosa si Mtanzania wala si mtu ana uhusiano wa kindugu na watanzania na waafrika wengine, yeye ni mSauzi first.

Serikali yetu ya 60's ili wafadhili waafrika wa Afrika Kusini walipokuwa wanateswa na serikali ya kaburu.
Leo wameshika serikali, na serikali hiyo inakamata Ndege za serikali iliyowakomboa.
Wananchi waafrika wenzao Sauzi wanapigwa au kuteswa na kuuwawa, mpaka unajiuliza , hivi ni hawa binadamu tulikuwa tunakesha JKT na kuimba

"kaburu matata hiya….hiya... Kaburu matata hiya …….hiya...…"
" Kruger naye ….. tutamkata……...Kruger naye tutamkata……."

Was all that in vain?
Mwalimu na Mandea must be turning in their graves.

Kweli tenda wema uende zako!!!!
Umeandika vyema ila mwishoni umezingua. Dawa ya deni ni kulipa. Tusipende kujificha kwenye kichaka cha "eti tuliwasaidia" kwa hiyo kama tuliwasaidia ndio turushe madeni? Hayo ndio malipo?
 
South Africa hatukuwasaidia ili waje watulipe fadhila ya kugombania nao vikazi vya hovyo hovyo
KWA hiyo kama endapo kama unagombea kutafuta ajira au kazi na RAIA wa kigeni suluhisho lake ni kumuua ili kupunguza ushindani??Au unamaanisha nini???
 
Umeandika vyema ila mwishoni umezingua. Dawa ya deni ni kulipa. Tusipende kujificha kwenye kichaka cha "eti tuliwasaidia" kwa hiyo kama tuliwasaidia ndio turushe madeni? Hayo ndio malipo?
Ni kweli dawa ya deni ni kulipa.
Sasa ukimuua huyo mdeni wako utalipwa nini?
 
Umeandika vyema ila mwishoni umezingua. Dawa ya deni ni kulipa. Tusipende kujificha kwenye kichaka cha "eti tuliwasaidia" kwa hiyo kama tuliwasaidia ndio turushe madeni? Hayo ndio malipo?
Inategemeana...kama individual upo right lakini kama nchi..deni lina namna ya kulilipa..mathalani thamani ya biashara,tax na makorokocho yote ndani ya SADC...au kati ya SA na Tz...USd 33m ni kitu gani kama nchi?nzuri zaid hata CAG analitambua hilo deni bilashaka..kushika ndege kidiplomasia haijakaa vema..ni kama wametushtua SADC si kitu..Tuendelee biashara na China.
Natabiri siku zijazo SA kutakuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe..na jua unajua nani LOOSER.
 
Mkuu tatizo hapa ni namna ya ku deal na msingi wa tatizo lenyewe-wahamiaji haramu.
Hata sisi tunalo tatizo la wahsmisji haramu.
Wakaguzi wanapita nyumba kwa nyumba na watu wanakamatwa na kurudishwa makwso kistaarabu.
Iwe waKenya. wa Ethiopia, Somali, Wanyarwanda su Warundi.
Kuwachoma moto, unguza mali zso ni hig NO.
Hatuwezi kutukuza mauaji ya yeyote. Hata kibaka! Lakini, Ubora wa hao wahamiaji ndo tatizo. SA iliingia matatizoni tangu enzi za Zuma. Ukiwa SA kuna kitu kinaitwa state capture kilianza kwa uzembe wa Zuma, akina Gupta wakapata power ugenini. Kwa tabia ya hao wageni, hakuna nchi inayoweza kuvumilia hali ilivyo.

Kwa mfumo halisi wa serikali kuonesha udhaifu wa kiuongozi enzi za Zuma, Cyril hataweza kuiruhusu hali kama hiyo. Hata tupige namna gani kelele, haikubaliki!
 
Inategemeana...kama individual upo right lakini kama nchi..deni lina namna ya kulilipa..mathalani thamani ya biashara,tax na makorokocho yote ndani ya SADC...au kati ya SA na Tz...USd 33m ni kitu gani kama nchi?nzuri zaid hata CAG analitambua hilo deni bilashaka..kushika ndege kidiplomasia haijakaa vema..ni kama wametushtua SADC si kitu..Tuendelee biashara na China.
Natabiri siku zijazo SA kutakuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe..na jua unajua nani LOOSER.
True mkuu, and that is reading between the lines.
 
Back
Top Bottom