Cyprian Musiba atolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kujifanya mwandishi kumbe siyo mwandishi wa habari

Hv kumbe bunge nalo haliko salama kiasi hiki??
Ahojiwe amefikaje hapo bila utaratibu.. Hawa ndio Dressing saloon wanaitwa VISEBENGO
Ofisi ya Bunge imekanusha huu uvumi mkuu. Mtamuandama sana huyu mtu ila atawasumbua kama Mange anavyowasumbua kina JPM
 
Kesho ataitisha press kuwajibu
Ofisi ya Bunge imelitolea jibu ila subiri kombora kutoka kwa Musiba. Bunge limesema ana vigezo vyote vya kuruhusiwa bungeni na siyo waandishi walimroa bali ofisi ya bunge sababu alikwenda kusikotakiwa akapelekwa kunakotakiwa. Musiba ni mwiba kama Mange na CCM
 
Kama kweli ni mwandishi wa habari, ina maana hao wote hawajui kama ni mwandishi wa habari?

Ndio mara yao ya kwanza kukutana naye hapo?

Kwa nini hajaonesha utambulisho kuwa yeye ni mwandishi wa habari?

Kwa nini kakubali kuondoka kama anasingiziwa?

Huoni kuwa kushutumiwa ilihali ni mwandishi halali ni kudhalilishwa mbele ya Bunge?
Mkuu,

Bunge letu lina waandishi maalum wanaotambulika rasmi na kuidhinishwa na bunge kufanya coverage pale bungeni.

Hawa wamepewa mpaka vitambulisho maalum.

Sio kila mwandishi akijiskia tu anaweza kuingia pale bungeni na kukusanya habari.

NADHANI HUYU MUSIBA,
HAKUZIFAHAMU TARATIBU HUSIKA.

Kwahyo,
Siwezi kuthibitisha mmoja kwa moja kua Bw.Musiba Ni mwandishi kitaaluma au mbabaishaji.

Ila nadhani,
ALIJIANDAA KISHAMBA SANA, AKIDHANI ATAINGIA BUNGENI KWA MGONGO WA UANDISHI WA HABARI.

AKIDHANI MLE MJENGONI KILA MWANDISHI ANAWEZA KUINGIA KIRAHISI RAHISI TU.
 
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom