Cynthia Masasi yu wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cynthia Masasi yu wapi??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Savimbi Jr, Oct 1, 2011.

 1. Savimbi Jr

  Savimbi Jr JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 482
  Trophy Points: 180
  Wadau niaje,e bwana kuna mrembo alikuwa ana-hit sana miaka ya 2006 kwa kushiriki kwenye video za wasanii wa mamtoni,nasikia amekuwa-deported,sasa sijui yupo wapi kwa sasa?

  ::::deportee - a person who is expelled from home or country by authority:::::
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  yupo na mumewe wanakula bata,she is expecting.....kuwa deported sio mwisho wa maisha,wengi miaka ile ya kuchanja credits cards za wazungu walikuwa deported na wameweza kumove on vizuri tu....
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Yupo Tz na last week alikuwa kwa wakweze,tayari mjamzito.cheki wall yake ya face book
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Yupo dar,nyumbani ni nyumbani.alikuwa mmoja wa majudge miss Tanganyika 2011
   
Loading...