Cynthia Masasi yu wapi??

How's Trendy Show yake, kwa waliyo Iona!

Kwenye ads inaonekana nzuri.
Viingelza vingi sana sidhani kama watateka soko hapa bongo,waache utumwa wa viingeleza,hata sultani Azam nayo ni kiswahili lengo ni kuteka mashabiki,kwa viingeleza vile watawapata watoto wa masaki/obey mboga 7 ila huku uswekeni matola hawapati mtu.
 
Yeah, kwa lugha hapa wanaweza wasipate ratings za kutosha. Unless kama watu watapendelea udhungu dhungu zaidi..

Ila wakilijulia soko vizuri wanaweza kufanya vizuri cos ni kitu kipya kipya zaidi kwetu na watu wanaweza kuipenda sana Show yao.
 
Viingelza vingi sana sidhani kama watateka soko hapa bongo,waache utumwa wa viingeleza,hata sultani Azam nayo ni kiswahili lengo ni kuteka mashabiki,kwa viingeleza vile watawapata watoto wa masaki/obey mboga 7 ila huku uswekeni matola hawapati mtu.
subtitle inahusu
 
Back
Top Bottom