Cycles zako JF

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hebu weka vizuri nani katoa hiyo diss? Mimi muda wa kufatilia nguchiro sina ila nawapiga moja wanabaki wanadiscuss week nzima..!! Afu sio shida zangu ujue ankal..!!
Jinsia ME ID KE . Ankal huku nikujifunza umbea sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Jinsia ME ID KE . Ankal huku nikujifunza umbea sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Nitag kwenye hiko kibonzo ili nielewe kwani kuna mtu unamuhofia?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mimi kazi yangu kucharaza gitaa naacha nguchiro wabweke..!!
 
Annal๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Walikuwa wanamdiss cocastic
Km ni hivyo basi hao ni mataahira na wao mbona ni mashoga. Si madume yale ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Halafu coca sio shida zake na ndiomana boss wao akaingia kwa bwanake coca, sasa inatakiwa wamuulize boss wao km coca ni shoga je, huyo boss wao naye alikuwa anafanywa nini na bwana wa coca??! Simple mathematics ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Waambie waje na diss mpya hii haina afya ishazoeleka JF
 
Mtumeee๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ