Cyber security

Nimekutana na wanachuo wa dit Leo wameisifia sana Ila I didn't buy the shit.kila kitu kina weakness.Embu ngoja nitafute mudaa nizame training ya JavaScript,html5,php.Then tuichezee hii forum tuone inner workings zake

Hehe unaonyesha wazi kua hujui unachokiongea, do you actually think utaenda kujifunza JavaScript na Php siku mbili tatu urudi hapa kujaribu stupid hacks? Keep on dreaming. Kusoma a programming language takes years to reach a level ambayo unaweza jiita expert, na bado kujaribu kupata security vulnerabilities you'll have to try even harder, utaanza kujifunza database, hawa wanatumia MySQL, na yenyewe usidhani you can just go in and attack, jamaa hawana loophole kwenye mysql attacks hata kidogo, hizo attacks zinawapata beginners tu siku hizi. Utahitaji pia kujifunza information security, hapo Algorithms lazima ukaze buti na upitie linear algebra na calculus kidogo, ujifunze networking, operating system, miaka kama minne hivi au zaidi kabla ya kuanza kufanya anything significant.

These guys wanapata so many attacks per day zaidi ya unavyofikiri, na they are still surviving. Ndiyo kwanza unataka uanze kujifunza programming, hehe you won't catch up, tafuta hobby nyingine ya kufanya. Labda ujifunze kwa kua tu unataka kujua
 
Duuuh, mkuu usimkatishe tamaa ataogopa na akimbie mazima hii field ya programming kweli inahitaji effort sana bila kuchoka.
Na kwenye hacking huko ndiyo hatari tupu kama hupendi kusoma 365/24/7 (KUJIFUNZA + PRACTICE) huwezi hii kitu na hata usijaribu.
Sasa wabongo wengi ukimwambia kusoma ni kama vile unamwambia nataka nikuue.
Lakini hawa newbie huwa wana dream vingi na kufikiri one night stand vitu vitakuwa vimenyoka kumbe..heheee

Hakuna shortcut kwenye haya mambo lazima ukae chini na kujifunza sana kama mvivu achana nayo hayakufai.
 

Kama yuko tayari kukata tamaa ni bora nimemsaidia mapema maana hii field haitaki watu wanaokata tamaa ovyo. Ni field ngumu inahitaji sana persistence na mtu anayeifanya kwa kua kaipenda sio kwa kua anataka kumkomoa flani. Ni bora nimempa ukweli kuliko akae anajidanganya ataanza kesho kesho akifikiri game ni rahisi. Watu wanaangalia Mr.Robot wanadhani kesho yake tu wanaweza angusha data centre ya Google. Hehehe what a joke.
 
Hahahaa, ma scriptie kiddie huwa wanachekesha sana ndugu.
Kuna mwingine nilimsoma humu anadanganya wenzako hakuna haja ya kujua language sababu kuna customization.
Utakuta huyo alijaribu kusoma language fulani kwa matarajio ya kujua kwa siku kadhaa alipoona patupu akaja na kujipa moyo kwa mtindo huo.
 
“Computer science education cannot make anybody an expert programmer any more than studying brushes and pigment can make somebody an expert painter.”
 
There are very good non-U.S. security companies like Kaspersky Labs (Russia), AVG Labs (Czech Republic), Trend Micro (Japan), and some others but again, most of them are in the U.S. For commercial security (Cybersecurity Operations Centers), the best again... is in the United States.

 
Hahaha bullshiit

Hahaha we jamaa fala kweli I've been there nime exploit vulnerabilities nyingi kuliko umri hata wa mama ako.Buffer overflow,heap overflow,stack smashing,ASLR avoidance I've done them alf ndo kwanza na miaka 17.cjui nani kakuambia kuwa Mimi ndo naanza kujifunza programming.Nimetengeneza rootkits kibao tu ive messed with the system deamons do you even now whats a daemon bro ??Naanza kujifunza php na JavaScript kwasababu ckuwa interested na web.But now I'm charged up.Eti inachukia miaka mingi kiss my dick wewe unadhani kila mtu Ana IQ kama ya baba yako old school.Kweli ww Graph theory.
 

Ni ngumu kwako wewe kwasababu una IQ ya punda.Usimfananishe kila mtu na IQ ya mama ako
 
 
Wabongo wanaona hacking ni kama muujiza hvi.Eti inachukua miaka mingi Mara oooh zim master algorithms hahaha bullshit za wanafunzi wa CS ma vyuoni(wenye IQ ndogo).Kwahyo mnataka kutuambia kuwa ukimaster quick sort algorithim au greedy algorithim unakuwa hacker ? Mara kasome calculus linear differentiation what the *** hahaha Kuna uhusiano gani wa ku take advantage return to libc kwenye program execution na derivatives ?Naona Kuna mwanachuo mmoja humu ndani anajiita Graph anatutajia syllabus yake ya computer science chuoni .Shit bora hata ungesema kasomeni discrete mathematics kitu kama logic particularly predicative logic ambayo iko fundamental hadi kwenye malware.discrete probability maybe ukiwa unataka uchunguze collisions za kwenye encryption schemes but for real calculus??Hahah nimetumia metasploit na cjwahi ona derivatives kwenye zle Ruby exploits.Cjui wewe nani kakuambia kuwa calculus inakufanya uwe hacker lecture wako yule babu itakuwa.People we need change aisee we need people who can hack na cyo watu wakutoa ushauri wa jinsi ya ku hack.

Usisikilize ushauri wa wabongo(most of them hawajawahi hack na wana IQ ndogo).Wengine wanakushauri Lakini hata hawajawahi ona exploit.Wengine wanawaita wenzao script kiddies Lakini ukiwaletea exploit hawawezi isoma na kuielewa. Probably hawajawahi hata tengeneza.Na Wengine wanaongea sana kwenye forums za jf.System bongo zinaonekana secured kwasababu hazijapata fanatics kama wakina anonymous.We need to change people.Tunahitaji watu wanajua kufungua reverse TCP shells na ku escalate privileges,Tunahitaji watu wanajua reverse dlls na cyo wanafunzi wa computer science ma vyouni ambao hawajawahi hata hack wanajua definition tu na wanasoma hacking stories kwenye websites.

Alf by the way humu jf hamna hackers njooni kwenye forums hapo chini muone watu wanavyotengeneza malware.Njooni humo muone botnet admins na cyo wanafunzi wa chuo waliojifunza darasani definition yake darasani wakaenda kitaa kuanza jitangaza mafundi.
Have a nice day.

https://hackforums.net
 
Wakuu ninawezaje kuua au kuremove OZIP SEARCH virus kwani laptop yangu imekuwa infected na huyu mdudu/hacker,yaani nashindwa kabisa kutumia google kama search engine!!.......Natumia window 10,msaada please!
 
Wakuu ninawezaje kuua au kuremove OZIP SEARCH virus kwani laptop yangu imekuwa infected na huyu mdudu/hacker,yaani nashindwa kabisa kutumia google kama search engine!!.......Natumia window 10,msaada please!


Bro OZIP cyo search virus technically ni "browser hijacker".Once installed Ana take advantage ya browser yako by modifying the homepage au ads.Malwarebytes iko vzuri I download then I run its detect na kum remove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…