Kama angefanya mkutano na makondakta na madereva ingekuwa bora zaidi!!Ila kama nitakuwa sijakosea kwa kauli aliyoitoa Makonda alisema pande zote waliafikiana(wamiliki wa daladala na waaalimu). So it means huyu jamaa ameudanganya umma wa watanzania???
Mkuu askali halikuwa tangazo, na kwa nature ya kazi yao, ilikuwa rahisi kwao kutekeleza hlo, wala si udhalilishaji, ila kwa waalim asee hapana napinga kwa nguvu zote....Kwa hiyo na askari ambao hawalipi nauli nao wamedhalilishwa??
Misifa.Afu kibaya zaidi katoa tangazo la kimkoa bila kumshirikisha hata mkuu wa mkoa.
Well said,Iko vere simpo, hutaki kupanda bure, ingia kimya kimya kisha lipa, kelele za nini???
Hapa tunazungumzia project ya Makonda. Yeye watumishi wa umma alioona wana mazingira magumu ni waalim tuu, sijui kachukua vigezo gani.Hiyo lift na allowance ni kwa walimu tu au na watumishi wote wa serikali??
Kama ni kwa walimu tu, why?? Kwani watumishi Wengine km manesi, wahudumu wa ofisi, makatibu muhutasi, watunza kumbukumbu, walinzi, watendaji wa vijiji na mitaa etc, etc wao hawastahili hiyo allowance na lift?
Toa sababu, kwanini kwa askari sio udhalilishaji lakini kwa walimu ni udondoshaji!!Mkuu askali halikuwa tangazo, na kwa nature ya kazi yao, ilikuwa rahisi kwao kutekeleza hlo, wala si udhalilishaji, ila kwa waalim asee hapana napinga kwa nguvu zote....
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
!!Sijui nikutukane? Mtu kakesha nje we umelala kwa raha zako na mumeo then aanze tu kutoa nauli... Yaani afanye kazi mbili alipe huku akiendelea kukulinda...!!!!!
Kwa hiyo makonda ndo alipe walimu hiyo allowance?Hapa tunazungumzia project ya Makonda. Yeye watumishi wa umma alioona wana mazingira magumu ni waalim tuu, sijui kachukua vigezo gani.
Haya sasa wenyewe hawataki
Lkn kaa ukijua kazi zingine ni risk kuliko zingine, na haiwezekani tu kwa kuwa ni option basi watu waende kada zingine...hata asipochagua huyu atachagua mwingine mwisho wa siku walinzi lazima wawepo na ni lazima kuwapa vipaumbele kwa aina ya kazi wanayofanya na risk iliyopo...for instance police akiwa ndani ya sare ujue yupo kazini...so haiingii akilini anayekulinda tena akulipe...!!
!
!
Kupanga ni kuchagua. Kwani anakesha bure? Nani kamchagulia hiyo kazi/shughuli? Hakuna aliyemlazimisha mtu kwenda kuwa katika kada hizo na wasijifanye wazalendo they were just running out of options.
Mwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Lkn kaa ukijua kazi zingine ni risk kuliko zingine, na haiwezekani tu kwa kuwa ni option basi watu waende kada zingine...hata asipochagua huyu atachagua mwingine mwisho wa siku walinzi lazima wawepo na ni lazima kuwapa vipaumbele kwa aina ya kazi wanayofanya na risk iliyopo...for instance police akiwa ndani ya sare ujue yupo kazini...so haiingii akilini anayekulinda tena akulipe...