CWT inaenda kinyume na malengo yake, walimu jitoeni

Hivi vyama vyote vya wafanyakazi sijui hifadhi za Jamii vyote ni kapu la serikali. Hilo shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA lina kazi gani km chama hakifanyi haki kwa wateja wake!
 
Tukta ndio uchafu kabisa, maana viongozi wengi wa tukta ni viongozi wa CWT pia
 
Wazee tena wale wa upe ila sio vijana walioajiriwa kuanzia miaka ya 2003
Walimu wore mkuu, kwani hao vijana walioajiriwa kuanzia 2003 si ndo hao wanalialia mpaka sasa? Please CWT endeleeni kuwanyoosha na kutumia pesa zao mpaka waamke!
 
Wewe

Na kuunga mkono
 
Walimu siku mkijitambua nitawaunga mkono

Endeleeni kuvaa matenet za CWT na kofia kama za walinda mpunga shamba

Wengi wenu mmejaa majungu mpaka kwenye mavazi
Huko maofisini mnarogana mpaka semina za kusimamia mitihani ya wanafunzi ya taifa

Wengi wenu hasa vijijini ndo hamjitambui kabisa mmechanganyikana na wahenga kwenye virabu vya gongo machicha na mataputapu

Walimu wakuu wenu aka ma big head ndo wanawatawala na kuwaendesha kama wanafunzi huo uozo wa CWT mtauona kweli

Uchaguzi ukifika serikali inawapaga kusimamia vituo vya uchaguzi ikijua ni rahisi kumnunua masikini

Badieikeni walimu conservativeness fungueni mind set zenu jiendelezeni kielimu mzitambue haki zenu

Siku mkijitambua nitarudi tena
Na nyie badikikeni muiondoe CCM madarakani.
 
Chakamatwa naona upo ktk hawakati zenu za Kudanganya walimu. Onyesheni mfano ambao cwt wameshindwa kufanya kufanikiwa sisi walimu tutawafuata chakamwata vinginevyo sisi walimu hatuwezi kuwafuata mana chakamwata ni km mume mchepuko tu.
 
Unaongea na walimu wa Tanzania au?????
 
Chakamatwa naona upo ktk hawakati zenu za Kudanganya walimu. Onyesheni mfano ambao cwt wameshindwa kufanya kufanikiwa sisi walimu tutawafuata chakamwata vinginevyo sisi walimu hatuwezi kuwafuata mana chakamwata ni km mume mchepuko tu.

Wewe utakuwa mmoja wa wale walimu wa UPE maana huna elimu ya kutisha, soma tena post nzima kabla hujanijibu
 
Ni vyema kujaribu kuliangalia hilo suala ila sio kwa kuanzisha chama kingine maana itachukua muda kufikia nguvu ya Cwt .

Pia umeona wale waliokua na vyeti magumashi ulitegemea uanzishe mgomo wagome wakati wanasaidiwa kuwepo kwenye ajira.

Sidhani kama ni Cwt pekee maana vyama vyote vya wafanyakazi mwaka wa tatu unaenda no increment na IPO kisheria na hamna chama kimedai wala kuzungumzia.

Wafanyakazi wanacheleweshewa mafao yao wakati kila kitu kipo kwenye system na bado hamna chama kinacholiongelea kwa nguvu.

Acha CWT ibaki maana hata kuwa na chama mbadala bado kitahitaji ushirikiano wa karibu na Cwt kilichopo ni kuongeza ukosoaji tu ili wabadilike
 
Na nyie badikikeni muiondoe CCM madarakani.
Tutaiondoa vipi wakati nyie walimu na njaa zenu huwa mnafanya kanjanja siku za uchaguzi

Mgekuwa na akili mngeanza kufanya mabadiliko CWT kabla ya kuwalaum ccm

Viongozi wenu wa CWT wamenennepeana walimu mmekonda Kwa udogo wa mishahara

Ile asilimia mbili mnayokatwa CWT kwanini huwa hamuhoji eti mnapoaitafu mnapewa bati 20 za msauzi

Utajengea nn hizo bati zaidi banda LA kuku

Badilikeni walimu mmenifundisha ila sikuwahi kujua kama mnachangamoto kiasi hicho

Semina zinawatoa Roho huko makazini
Eti inafikia hatua mwalm wa LA 7 unahonga Kwa ofisa wako uende semina ya darasa LA 2
 
Inasikitisha sana ila kinachosababisha ni mshahara mdogo mno.
 
Ni vyema kujaribu kuliangalia hilo suala ila sio kwa kuanzisha chama kingine maana itachukua muda kufikia nguvu ya Cwt .

Pia umeona wale waliokua na vyeti magumashi ulitegemea uanzishe mgomo wagome wakati wanasaidiwa kuwepo kwenye ajira.

Sidhani kama ni Cwt pekee maana vyama vyote vya wafanyakazi mwaka wa tatu unaenda no increment na IPO kisheria na hamna chama kimedai wala kuzungumzia.

Wafanyakazi wanacheleweshewa mafao yao wakati kila kitu kipo kwenye system na bado hamna chama kinacholiongelea kwa nguvu.

Acha CWT ibaki maana hata kuwa na chama mbadala bado kitahitaji ushirikiano wa karibu na Cwt kilichopo ni kuongeza ukosoaji tu ili wabadilike

Bila chama kingine CWT watakuwa wanawaonea sana walimu
 
Back
Top Bottom