Kwa ufupi walimu wote ni vilaza wa kiwango cha bomberdier.
Hivi magreth Seven hajawahi kuwa rais cwt na kisha kwenda kugombe nafac ya siasa kupitia joka la kijani akashinda?
Pia mwisho mwa awamu ya 4 JK aliwateua baadhi ya viongozi wa cwt taifa kuwa madc,ikumbukwe dc yeyote ni mjumbe katika mikutano ya chama levo flan
Hawawezi hawa kujipigania ni watu duni
Kimaarifa
Kiuchumi
Kiumoja na hata kujitambua
Yote hayo yanawaacha vunerable kuonewa
CWT ndo wakala mkubwa wa CCM. Wamewapumbaza walimu kwa miaka nenda miaka rudi.
asilimia 2 wanayokata kila mwezi hawakati walimu wote,matapeli wale
Swala la kujiondoa sio suluhisho suluhisho nikuweka viatu pemben
Chama hakiwezi kuwa na msimamo kwakuwa katibu yenyew haijasimama na chama hakina hakiba kubwa ya kifedha