Chakamatwa naona upo ktk hawakati zenu za Kudanganya walimu. Onyesheni mfano ambao cwt wameshindwa kufanya kufanikiwa sisi walimu tutawafuata chakamwata vinginevyo sisi walimu hatuwezi kuwafuata mana chakamwata ni km mume mchepuko tu.
Ni kweli,huko private schools ndo walimu feki walipojaa,wanapelekeshwa balaa. Kinawabeba ni mazingira mazuri ya kazi na motisha kidogo kama chakula na malazi.Watz wengine wakipata elimu feki jua, kuna siku tutakuwa na viongozi feki, madaktari feki, jeshi feki, nk. Ambapo hata wewe na mtoto wako aliyepata elimu private schools ataathirika tu
Wengine tunajitambua sema tu janga la umasikini ndo linatutatiza sana. Unajaribu kudai na kuwa na msimamo baadae unajiona unapoteza kibarua hivi huku wenzako hawakuungi mkono.Walimu siku mkijitambua nitawaunga mkono
Endeleeni kuvaa matenet za CWT na kofia kama za walinda mpunga shamba
Wengi wenu mmejaa majungu mpaka kwenye mavazi
Huko maofisini mnarogana mpaka semina za kusimamia mitihani ya wanafunzi ya taifa
Wengi wenu hasa vijijini ndo hamjitambui kabisa mmechanganyikana na wahenga kwenye virabu vya gongo machicha na mataputapu
Walimu wakuu wenu aka ma big head ndo wanawatawala na kuwaendesha kama wanafunzi huo uozo wa CWT mtauona kweli
Uchaguzi ukifika serikali inawapaga kusimamia vituo vya uchaguzi ikijua ni rahisi kumnunua masikini
Badieikeni walimu conservativeness fungueni mind set zenu jiendelezeni kielimu mzitambue haki zenu
Siku mkijitambua nitarudi tena
Fact.Hivi vyama vyote vya wafanyakazi sijui hifadhi za Jamii vyote ni kapu la serikali. Hilo shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA lina kazi gani km chama hakifanyi haki kwa wateja wake!
Walimu ni vilaza sana.Ahsante kwa kumwelimisha, hatarudia tena.