CWT inaenda kinyume na malengo yake, walimu jitoeni

Hata wewe unahusika maana walimu wakiwa na mazingira mabaya hata wewe utaathirika kupitia watoto wako maana hawata pata taaluma ya kiwango kinacho takiwa, so tuwatetee pamoja walimu hali ni mbaya
Labda walimu wa serikali, Mimi watoto wangu nawapeleka Private schools
 
Watz wengine wakipata elimu feki jua, kuna siku tutakuwa na viongozi feki, madaktari feki, jeshi feki, nk. Ambapo hata wewe na mtoto wako aliyepata elimu private schools ataathirika tu
 
Walimu siku mkijitambua nitawaunga mkono

Endeleeni kuvaa matenet za CWT na kofia kama za walinda mpunga shamba

Wengi wenu mmejaa majungu mpaka kwenye mavazi
Huko maofisini mnarogana mpaka semina za kusimamia mitihani ya wanafunzi ya taifa

Wengi wenu hasa vijijini ndo hamjitambui kabisa mmechanganyikana na wahenga kwenye virabu vya gongo machicha na mataputapu

Walimu wakuu wenu aka ma big head ndo wanawatawala na kuwaendesha kama wanafunzi huo uozo wa CWT mtauona kweli

Uchaguzi ukifika serikali inawapaga kusimamia vituo vya uchaguzi ikijua ni rahisi kumnunua masikini

Badieikeni walimu conservativeness fungueni mind set zenu jiendelezeni kielimu mzitambue haki zenu

Siku mkijitambua nitarudi tena
 
Kuikopesha CCM mabilioni ya pesa uchaguzi wa 2015, kashfa hii ni mbaya sana na hakuna kiongozi wa CWT aliye jitokeza kukanusha hizi tuhuma kukaa kimya kwao kunaonesha wazi kuwa ni habari za kweli.
weka uthibitisho badala ya blah blah,Tanapa mmezoea siasa za uongo na ghilba
weka bank statement tuone miamala,unataka walimu wajitoe CWT wajiunge na chadema?
 
Walimu siku mkijitambua nitawaunga mkono

Endeleeni kuvaa matenet za CWT na kofia kama za walinda mpunga shamba

Wengi wenu mmejaa majungu mpaka kwenye mavazi
Huko maofisini mnarogana mpaka semina za kusimamia mitihani ya wanafunzi ya taifa

Wengi wenu hasa vijijini ndo hamjitambui kabisa mmechanganyikana na wahenga kwenye virabu vya gongo machicha na mataputapu

Walimu wakuu wenu aka ma big head ndo wanawatawala na kuwaendesha kama wanafunzi huo uozo wa CWT mtauona kweli

Uchaguzi ukifika serikali inawapaga kusimamia vituo vya uchaguzi ikijua ni rahisi kumnunua masikini

Badieikeni walimu conservativeness fungueni mind set zenu jiendelezeni kielimu mzitambue haki zenu

Siku mkijitambua nitarudi tena

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
weka uthibitisho badala ya blah blah,Tanapa mmezoea siasa za uongo na ghilba
weka bank statement tuone miamala,unataka walimu wajitoe CWT wajiunge na chadema?

Utafiti wa twaweza unakuhusu, "CCM inapendwa zaidi na wajinga"
 
Viongozi wa CHAKAMWATA njoo mtoe elimu hapa
 
Walimu wengi wananjaa kali, waoga, hawajiamini hata wakiamrishwa wafagie ofisi na nyumba za maafisa elimu wanafanya
 
Inawezekana kabisa walimu kutoka kwenye hizi shida
 
Rais anaweza kuwa na lengo zuri na elimu ya tz tatizo chama cha walimu
 
Back
Top Bottom