Lukuvi ni msaidizi wa waziri mkuu bungeni,hivyo basi, yeye, waziri mkuu, na mwanasheria mkuu wa serikali wanaruhusiwa kurukia hoja yoyote ile bungeni as long as wanaibeba serikali. kwahiyo hapa sio pa kumdharau Lukuvi ila pa kumpongeza kwa kutimiza majukumu yake vema japo hoja ya msingi wajuaji wote wanaipinga serikali kwa kuendesha wizara nyeti ya elimu kisanii