Babu pitia matumizi ya "l" na r"Turimuweka pare kwa kazi maalum. Mkiona tunapewa informations basi ni watu kama kina Merdad" Mjadala fungaaa kwani hata hoja ya Mruma kwenye board mliambiwaje? Si mliambiwa kuwa "Turimuweka pare upande wa adui kwa kazi maarum" Utadhani wakati huo alikuwepo au alikuwa anajua A wala B za system! Sizonje banah!
nilikuwa natumia ka tochi buttons zake ndio hivyo ni ndogo , ndio maana kumekuwa na makosa ya kimaandishi , samahani kwa hilo, BossMkuu Kiswahili chako kigumu sana kukielewa.
ukipitia mabaraza yote ya mawaziri awamu zote, inaonekana kwamba awamu zote, kuna waziri alichaguliwa toka jimbo analotoka Raisi.Chato imetoa rais wa nchi,kwa nini nafasi ya uwaziri isingekwenda kwa mbunge wa jimbo/wilaya/mkoa mwingine ili kuleta uwiano?
Unakumbuka Kawambwa na JKukipitia mabaraza yote ya mawaziri awamu zote, inaonekana kwamba awamu zote, kuna waziri alichaguliwa toka jimbo analotoka Raisi.
Sasa labda hili suala liwekwe kwenye katiba pendekezi.
PUMBAChato imetoa rais wa nchi,kwa nini nafasi ya uwaziri isingekwenda kwa mbunge wa jimbo/wilaya/mkoa mwingine ili kuleta uwiano?
Ndio maana nikaandika kama ni kupinga liwe kwenye katiba pendekeziUnakumbuka Kawambwa na JK