CV ya Waziri wa Nishati, Medard Kalemani

CV ya Waziri wa Nishati, Medard Kalemani

Sifa kuu ya huyu waziri kuteuliwa ni kwa kuwa anatoka CHATO.

Sifa kuu ya huyu waziri kuteuliwa ni kwa kuwa ni Mbunge, ni mTanzania, amesbobea kwenye sheria ya madini ambayo siyo wengi wanayo - Wengi wanakuwa na utaalamu wa kutetea wezi wa kuku! Pia ametokea kwenye wilaya zilizo nyimwa kipaumbele katika maendeleo na serikali za awamu zilizopita. Ni mchapa kazi.
 
"Turimuweka pare kwa kazi maalum. Mkiona tunapewa informations basi ni watu kama kina Merdad" Mjadala fungaaa kwani hata hoja ya Mruma kwenye board mliambiwaje? Si mliambiwa kuwa "Turimuweka pare upande wa adui kwa kazi maarum" Utadhani wakati huo alikuwepo au alikuwa anajua A wala B za system! Sizonje banah!

Kwanza huyu ni wa kanda ya ziwa tena Chato kabisaaa ni msafi kuliko wakaskazini wote!
Kasikazini mlikuwepo na ni hapa mliko tufikisha! Je mnataka kuendelea tuwaachie? Mmesahau kwamba through your party you were preparing to kill the goose that laid the golden eggs!
 
Mleta mada unazungumzia Kalemani, aliye graduate 1996, na kuwa hapo wizarani kuanzia 2007, sasa unataka kusema , hakuwakuta wanasheria wengine ambao walikuwa ni senior kwake , au tuseme walio anza kazi labla yake au walio graduate kabla yake?? Kama wapo au walikuwepo je unawaweka wapi ktk tatizo hili la mikataba ya hovyo?

Mbona wao hujawaongelea, pili je ktk kadhia hii, ya mikataba ya hovyo , umeweza kuona madokezo au documents yeyote ambayo ina muhusisha , Kalemani na huu uhovyo wa mikataba ya madini au unaandika kwa hisia zako au muhemuko wako wa kisiasa?

Tatu je unajua mfumo unaotumika serikalini upoje ktk maamuzi ya mikataba hasa pale inapo ihusisha nchi na mashirika ya nje, mtu wa chini anafuata maelekezo ya seniors wake au anachotakaa yeye.
 
Hapo ndo utajua kama JPM ana nia ya dhati kweli kupambana na mafisadi? Kalemani ni mfano dhahiri!
 
Kima, Nyani, Ngedere, Tumbili, Sokwe, Chimpanzee ukiwaangalia kwa umakini utajua kuwa wametofautiana kwa uchache sana. Hawajatofautiana sana huwa wanafanana sana.

Ni hatari sana kwa kweli.
Ngedere=tumbili
 
Tuteulie waziri basi huko kwenu utuletee ili Kalemni tumtoe
 
Ifike pahala wakati tunaanzisha threads za kuomba cv za watu, tukumbuke kuanza na zetu bana

mkuu kwani sisi viongozi wa uma mpaka tuweke zakwetu mfano mimi fundi baskeli hapa ilala sasa nikiweka cv yangu haitakupa msaada ila ya viongozi wauma ni muhimu tuka tathmni kiwango cha elimu yao na kujua kuwa wanatupeleka wapi.
 
Kasikazini mlikuwepo na ni hapa mliko tufikisha! Je mnataka kuendelea tuwaachie? Mmesahau kwamba through your party you were preparing to kill the goose that laid the golden eggs!
Wee takuwa nasema rongoo
 
View attachment 604514
Employment history inaonyesha kwamba amehudumu kama Mkurugenzi wa Idara ya Sheri Nishati na Madini toka 2013-2015. Na 2007-2013 alikuwa mwanasheria mwandamizi wa Wizara ya Madini.

Kwa mujibu wa Mzalendo Magufuli miaka ambayo huyu bwana akiwa wizarani ndio nchi ilikuwa ikiliwa sana.

Nikisema mkakati ni kupunguza mafisadi ili tubaki mafisadi wawili watatu nitakuwa nasema urongo?
Wateule watauona ufalme wake . Huko watakaa wakiimba, kumsifu, na kumtukuza mfalme.
 
Ukitaka watu wasafi hawapatikani ndani ya ccm ilo ndio tatizo kuanzia ikulu mpaka kwenye shina la mtaa"
Uko wrong! Sio kila mtu ni mchafu. Tunaangalia uhusika binafsi. Nadhani unafahamu kuna watu walikataa kupitisha hata pesa za Escrow na wenye escrow wakatumia 4*4 kama si 6*6. Order ikatoka na mpunga ukapita. Kama una akili umenielewa. Kama kuna wezi nchi hii basi wengi wako huko uliko. Kama wamekula hela ya matibabu na sasa inakimbilia B unategemea nini. Kalemani hata hjzo kashfa zenu hana.
 
Oya zamu yangu ya uteuzi ikifika mniamushe toka usingizini maana kwa huu msoto wa kukosa ajira ni hataree
 
Mleta mada unazungumzia Kalemani, aliye graduate 1996, na kuwa hapo wizarani kuanzia 2007, sasa unataka kusema , hakuwakuta wanasheria wengine ambao walikuwa ni senior kwake , au tuseme walio anza kazo labla yake au walio graduate ksbla yake?? Kama wapo au walikuwepo je unawaweka wapi ktk tatizo hili la mikataba ya hovyo?
Mbona wao hujawaongelea, pili je ktk kadhia hii, ya mikataba ya jovyo , umeweza kuona madokezo au documents yeyote ambayo ina muhusisha , Kalemani na huu uhovya wa mikataba ya madini au unaandika kwa hisia zako au imuhemuko wako wa kisiasa?
Tatu je unajua mfumumo unaotumika serikalini upoje ktk maamuzi ya mikataba hasa pale inapo ihusisha nchi na mashirika ya nje, mtu wa chini anafuata maelekezo ya seniors wake au anachotakaa yeye.
Mkuu Kiswahili chako kigumu sana kukielewa.
 
Sifa kuu ya huyu waziri kuteuliwa ni kwa kuwa anatoka CHATO.
Chato imetoa rais wa nchi,kwa nini nafasi ya uwaziri isingekwenda kwa mbunge wa jimbo/wilaya/mkoa mwingine ili kuleta uwiano?
 
Back
Top Bottom