We mwenyewe uitumii elimu katika kuwaza,mara ngapi umetetea Hoja za kipuuzi kwa uliokuwa nao na MahabaMwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Lau Masha kajuaje? Yeye ndo alisahihisha mtihani wake? Na Masha alisema hivyo lini na wapi? Yupo on record akisema hivyo au alibwatuka akiwa keshakunywa pombe Rose Garden?
We mwenyewe uitumii elimu katika kuwaza,mara ngapi umetetea Hoja za kipuuzi kwa uliokuwa nao na Mahaba
Hizo modal verbs husumbua (wanasheria) wengi na si yeye tu. Tushawahi kuwa na kamjadala kule kwenye jukwaa la sheria kuhusu hizo verbs hususan kwenye sheria za kazi.
Yeye AG alifanya hiyo exam mwaka gani? Na mtu kwa Tanzania anapewa attempts ngapi?
Bado haiingii akilini kwamba jamaa aliyefeli hicho ki-exam eti ndo aje kuwa judge na AG....haingii akilini kabisa.
Na bado siamini hadi nipate sources zingine zaidi ya watu tu humu (tena wenye chuki dhidi yake) kusema bila supporting evidence.
Kuna website moja hivi ina orodha ya mawakili wote wa Tanzania. Ngoja niitafute niangalie kama yupo...walau hapo nitakuwa nimepata pa kuanzia.
Hapa nadhani tungeziweka CV mbili, ya Lisu vs Werema alafu ndio tujadili.
Wanaoitwa wasomi Tz... wengi wao miaka mingi darasani, uwezo mdogo kichwani.
Hicho unachokiita ki-exam kimetoa ushamba wanasheria nguli wengi namaanisha wamefeli wengi wapo waliokua wakifeli mara moja hawarudi tena sina ushahidi wa kutosha kama mh.AG alifanya zaidi ya mara ila nachojua mimi hajawai kufaulu.
Mbona wapo wanasheria nguli na mashuhuli waliosota kupass bar exam na wengine kwa kugundua ugumu wake na kuogopa aibu ya kufeli waliamua kutofanya kabisa mfano prof. Kabudi
Nafasi: Mjumbe Elimu: LL.B (Hons) First Class Division (Dar), LL.M (Dar), Dr. Juris Freie Universitaet Berlin.
Uzoefu: Dean-UDSM School of Law, Head of Department of International Law, Chairman Institute of Tax administration Governing Council, Trustee Social Action Trust Fund, Council Member St. Johns University of Tanzania, Member National Community Service Board, Member-Board of Trustees ACODE (Uganda), Journalist, Advocate of the High Court of Appeal of Tanzania, Publications includes The Union of Tanganyika and Zanzibar and Human Rights Jurisprudence in East Africa. Chanzo
All in all bar exam ndio ilikua kiboko ya mbwembwe zote na kimtihani cha masaa machache tu ila shughuli yake ni zaidi ya kupanda kilimanjaro uliza waliopita watakuambia
Wabunge wangapi wa chadema wana CV hiyo?
ukubwa wa cv sio ndio kigezo cha kuwa kiongoz bora watanzania tunakosea hapo wengi wetu tumesoma lkn hatujaelimika
Bila ushahidi kwamba kweli alifeli itabaki kuwa ni maneno yako tu hadi hapo utakapotoa ushahidi kwamba kweli alifeli hicho kimtihani.
Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....yaani unasema kwamba huyo bwana licha ya kupata festi klasi hapo UDSM baadaye alikuja akakacha kufanya hicho kimtihani cha uwakili kwa sababu ni kigumu sana?
Yaani huyo genius akaogope hako kamtihani? Hiyo habari wewe umeitoa wapi? Manake huyo bwana ni mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na kwenye tovuti ya hiyo tume kuna kiji-profile cha wajumbe kinachoelezea elimu pamoja na tajiriba zao na ya huyo bwana Kabudi inasomeka hivi:
Sasa bwana Mbeky naomba unieleze hapo nilipopakoleza na maandishi mazito yenye rangi nyekundu panamaanisha nini. Kuwa advocate of the high court of appeal of Tanzania huhitaji kufanya hako kamtihani?
Halafu naomba unieleze ni imekuwakuwaje hadi jina lake huyo bwana Kabudi kutokea kwenye roll of advocates na yeye akiwa roll namba 1169 na tarehe yake ya admission ni 15.12.2009.
Kwa chanzo bofya hapa. Hii roll inaishia 2009 tu.
Ukiboko wake ni nini?
you are not in the legal fraternity, this indicates from your arguments, uliza usomeshwe
Wabunge wangapi wa chadema wana CV hiyo?
mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
tukileta cv yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki cv hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Constituent:Ex-officio Member
Political Party:AG
Office Location😀ar Es Salaam
Mkuu NN, just to put record clearUnamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....
Wewe kinachokusumbua ni much know. Unajiona mjuaji sana, mjuzi sana hata kukosoa elimu za watu. Kama wewe ni msomi lakini unashindwa kutofautisha elimu na uongozi basi usomi wako hauna maana. Mabandiko yako mengi ni ya kujiona your the best! Je elimu yako wewe imewasaidia nini watanzania? Uko jf kila siku kwenye keyboard mwenzako angalau alikuwa jaji na sasa ni ag.
Samahani kama nitakuwa nimekuudhi lakini huwa sifurahishwi na attitude yako ya kujiona bora ktk elimu kuliko wengine. Kabla ya kuwashambulia wengine wameifanyia nini tanzania jifikirie wewe unaewashambulia umeifanyia nini tanzania au ulisha wahi ifanyia nini.