CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,892
MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Frederick
Middle Name: Mwita
Last Name: Werema
Member Type: Attorney General
Constituent: Ex-officio Member
Political Party: AG
Office Location: Dar Es Salaam
Office Phone: -
Ext.: -
Office Fax: -
Office E-mail: fwerema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 10 October 1955
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
American University, Washington DC LLM 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar Es Salaam LLB 1981 1984 GRADUATE
United Nations System Staff College Human Rights Reporting Course 1994 1994 DIPLOMA
University of Sussex Mining Law Course 1996 1996 CERTIFICATE
Australia Police College Leadership Course 2007 2007 CERTIFICATE
Songea Boys High School A-Level Education 1976 1977 HIGH SCHOOL
Bwiru Boys Secondary School O-Level Education 1972 1975 SECONDARY
Wegero Primary School Primary Education 1964 1968 PRIMARY
Kiagata Middle School Primary Education 1969 1969 PRIMARY
Nyegina Middle School Primary Education 1969 1971 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Government of Tanzania Attorney General 2009
High Court of Tanzania Judge 2007 2009
Attorney General Advocate/Director 1984 2006
Shaaban Robert Secondary School Teacher 1979 1980
PUBLICATIONS
Description Date
Judge F. Werema: Financial Instruments (Trusts) for Environment, American University Law Journal. 1993
Judge F. Werema: Economic Partnership Agreement, Ruaha University College. Tanzania 2008
 
Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo

Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
 
We Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
 
Awe makini sana na hii mikataba inayosainiwa kila kukicha ,,maana kwa cheo alichonacho ni mshahuri mkuu wa serikali katika maswala yote ya sheria,,,,asiwe kama mzee wavijisenti ambaye amesababisha janga kubwa la umasikini hapa tanzania mpaka leo,kesho na kesho kutwa.....
 
Angalia LLM yake ya America. siyo makosa yake ni makosa ya elimu yake. Uk asingeweza kusoma huyo. kwa kichwa chake kisingehimili masomo kule. America ni saizi yeka.
 
hivi wakuu 1994 diploma ilikuwa inatolewa kwa mwaka mmoja? Mbona leo diploma ni miaka 2?
 
Mkuu, Werema alifeli mtihani wa uwakili. Kwa udhaifu wa sheria na taratibu zilizopo, akaja kuteuliwa Jaji na baadae AG.

Ya kweli hayo au kwa vile tu hamumpendi na kwa vile mnadhani ni kilaza basi ndo mnaamua kumzushia?

Mtu aliyekuwa attorney general advocate (what hell is that even?) iweje afeli mtihani wa uwakili? Na kwani mtihani wa uwakili ni mgumu kuliko miaka 4 aliyosomea sheria hapo UDSM?
 
Hapa nadhani tungeziweka CV mbili, ya Lisu vs Werema alafu ndio tujadili.
 
bila busara haisaidi kitu avue gamba kwanza afanye kaz kwa utaalam
 
Ya kweli hayo au kwa vile tu hamumpendi na kwa vile mnadhani ni kilaza basi ndo mnaamua kumzushia?

Mtu aliyekuwa attorney general advocate (what hell is that even?) iweje afeli mtihani wa uwakili? Na kwani mtihani wa uwakili ni mgumu kuliko miaka 4 aliyosomea sheria hapo UDSM?

Hahaha Nyani Ngabu.....!

You rock....!
 
Last edited by a moderator:
Vita ni vita murrah, usomi bila hekima ni kama suruali bila zip kwani ni rahisi kumwaga radhi.
 
Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo

Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!

Mkuu Ben

Huyu mtu mimi nakumbuka kesi mbili (sikumbuki wahusika) alizotoa hukumu ya kifo zilitenguliwa baada ya rufaa. Alipaswa kuwa DRC anawafukuza M23 sio AG an bungeni.
 
Back
Top Bottom