CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
kama sijaona vizuri naombeni mnisahihishe... HIVI MUHESHIMIWA NA MBWEMBWE ZOTE ZILE NI DARASA LA SABA LA ZAMANI??

Afadhali kasema ukweli kuliko wanajiita madoctor na maprofessor wakati hawana hata diploma! Hii elimu yake ina reflect ule utumbo aliomwaga kule Arumeru!! Tumsamehe kutokana na kiwango chake cha elimu!!
 
Nchi hii haiwezi endelea kwa kuwa na watu kama hawa. Lusinde hachangii hata 0.00000001% ya maendeleo ya taifa, sanasana analitia taifa hasara kwani anatumia pesa nyingi za serikari wakati haingizi kitu chochote. Hasahasa anitia nchi aibu kwa matusi yake ambayo yapo mitandaoni na watu wengi duniani wameyaona matusi yake.
 
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
[h=3][/h]

speakerz.png


members.png
Comitee-email.png

searchmp.png
Enter your MP name or constituent
Search

event.png

«««October 2012»»»
SunMonTueWedThuFriSat
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 8 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30
 
naona umekosea kukopi, kwani Lusinde amewahi kuwa kiongozi katika chama cha CUF na CDM? Pls fafanua
 
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary


speakerz.png


members.png
Comitee-email.png

searchmp.png
Enter your MP name or constituent
Search

event.png

««
«
October 2012
»
»»
Sun
Mon
Tue
Wed
Thu
Fri
Sat
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
8
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

Kumbe ni msomi namna hiyo?..Elimu ya msingi ni kubwa sana ila mtu akiishia katika elimu hiyo anakuwa amejipunja ufahamu wa mambo muhimu sana..kwa mfano uwezo wa kuwaongoza watu wake, n.k (ingawa sio wote)
 
Alishawahi kuwa kiongozi wa chadema.Siasa basi tena kitu hakina adui wala rafiki watu wanaishi kinafkifiki tu.
 
Naombwa kujuzwa. Mbunge ni mwakilishi wa jimbo la uchaguzi katika bunge; je anahitajika awe na elimu kubwa au ndogo kwa kiasi gani? Kama sikosei katika jimbo husika kuna watendaji wengine kibao ambao wapo kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
 
........Hakuna cha ajabu.... tegemea wakati wowote atakuwa anaitwa Mheshimiwa Dr. Livingstone Lusinde..... mbona wako wengi wenye U - Doctor na elimu hawana ............... ukishangaa ya Mussa utayaona ya firauni.............
 
Wakati wa kampeni za 2010 nilitembelea baadhi ya maeneo ya jimbo la mtera,na nilipata pia kampeni za vyama mbalimbali,Inavyosemekana Lusinde wakati ana apply alisema amemaliza form 4,Sasa kina Makamba walivyojua anachet feki cha form 4 Wakamshauri atumie cheti tu cha la saba,ambacho ndio alitumia nia yao ilikuwa ni kumngoa mzee Malecela ndio wakaona ni vizuri sana wamchukue Lusinde.Lkn kule kule wakati wa uchaguzi ilisemakana ni kweli Lusinde alisoma elimu ya msingi Lkn hakusubiri mpaka amalize kwa hiyo Hakumaliza la Saba!!!! sasa hata ukuona CV yake utaona alianza 1980 na kumaliza 1987-mtu ambaye haja maliza shule ya msingi ni lazima aandike hivyo lkn ukianza 1980 utamaliza la saba 1986.Sasa yale aliyofanya huku arumeru mashariki ndio nikakumbuka kweli fikra ipo chini na yeye mwenyewe hajijui,wakati wa uchaguzi nilitemebelea,Mvumi mission,mvumi makulu,Mpuguzi,Nkulabi na Chamwino Ikulu.Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom