Cv ya katibu mkuu wa ccm

Elimu darasa la nane.ila alipumzika kidogo baada ya kumaliza darasa la nne.ni mwalimu wa ngazi ya cheti plus experience.
 
Ila ni Leutenant wa jeshi letu pia, ni sifa japo sijui vyeo vya jeshi hupeana ama la.
Amekuwa pia ni RC wa kgm, dar
 
na hao walimu aliokuwa anawafundisha sio siri walikuwa na kazi ya ziada.
jamani kama kuna wanafunzi waliofundishwa na huyu jamaa watupe shuhuda..:laugh:
proffession= mwalimu!
kabila= msambaa!!

:laugh::laugh:
 
Tafadhalini wana Jf, tuheshimiane..huyu hakufaa kwa mwl..naomba tajeni sifa nyingine,siyo ualimu..labda leutenant,tena leutenant wa jeshi bogus kama letu..huyu mtu ni kama punguani fulan.!
 
hivi ni sababu zipi ziliwafanya wakamtosa mangula wakamweka huyu kilaza? mangula atleast alikua na substance
 
hivi ni sababu zipi ziliwafanya wakamtosa mangula wakamweka huyu kilaza? mangula atleast alikua na substance

Mangula alitolewa kwasababu asingeendana na mwenyekiti aliyeko madalakani. watu waliokuwa wanaendana na serikali iliyopo madalakani ni wale wanaoweza kutimiza objectives za awamu hii! hii ni awamu ya kujisifu kwa yaliyofanyika siyo awamu ya kufanya mambo yatakayoleta sifa badae.
mfano.
1. serikali imetekeleza mpango wa sekondari za kata
2. serikari imeweza kujenga mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa victoria
3. serikari imejenga chuo kikubwa kuliko vyote cha dodoma
4. serikali imeweza kutoa mbolea za ruzuku kuliko kipindi chochote kile
5. nchi imepata heshima kubwa naibu katibu mkuu wa UN katoka tanzania haijawahi tokea
6. rais wa awamu ya nne amepata vyeo vingi vya kimataifa kuliko rais yeyote aliyetangulia
7. wananchi wanamagari mengi kuliko kipindi chochote
8. barabara zimejengwa kuliko vipindi vingine
9. muafaka zanzibar
10. taifa stars imeweza kucheza mechi nyingi za kimataifa na hatimae kunyakua kombe la SECAFA
11. brazili kuja kucheza tanzania
12. Rais kahudhuria mechi nyingi kuliko rais yeyote aliyetangulia
13. wahitimu wa sekondari wamekuwa wengi zaid kuliko kipindi chochote!
14. nchi imeendelea kuwa na amani

namengineyo mengi sana

hii ni awamu ya kutangaza mafanikio
 
:clap2: makamba anasifa nyingi! kwanza alikuwa mbunge wa kuteuliwa na rais, pia amekuwa baba wa january makamba ambae ni mbunge na pia ni mwenyekiti wa kamati mojawapo ya kamati za bunge (anakitengo)
anauwezo wa kutoa maneno ya aina yeyote popote pale

anaweza kumsifu mtu hatakama hastahili sifa hizo:clap2:
 
Hunywa maji ya Chooni kabla ya kuongea, ndio maana yanayotoka kinywani mwake hukera roho za walio wengi.
 
Kwenye nadharia ya uendeshaji kuna kanuni moja inahitwa; "Peters principle" ambayo inasema katika kazi mtu anaendelea kupanda ngazi mpaka kufikia kwenye cheo ambacho hakimudu hata kidogo(promoted to the level of incompetancy.) Hayo ndiyo yaliyomkumba Makamba. Mtakumbuka huko nyuma alimudu majukumu yake vizuri, hasa alipokuwa RC DSM, lakini hili la kupandisha cheo kuwa katibu mkuu wa CCM lilimuweka katika nafasi inayozidi uwezo wake.
 
Back
Top Bottom