Mangula alitolewa kwasababu asingeendana na mwenyekiti aliyeko madalakani. watu waliokuwa wanaendana na serikali iliyopo madalakani ni wale wanaoweza kutimiza objectives za awamu hii! hii ni awamu ya kujisifu kwa yaliyofanyika siyo awamu ya kufanya mambo yatakayoleta sifa badae.
mfano.
1. serikali imetekeleza mpango wa sekondari za kata
2. serikari imeweza kujenga mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa victoria
3. serikari imejenga chuo kikubwa kuliko vyote cha dodoma
4. serikali imeweza kutoa mbolea za ruzuku kuliko kipindi chochote kile
5. nchi imepata heshima kubwa naibu katibu mkuu wa UN katoka tanzania haijawahi tokea
6. rais wa awamu ya nne amepata vyeo vingi vya kimataifa kuliko rais yeyote aliyetangulia
7. wananchi wanamagari mengi kuliko kipindi chochote
8. barabara zimejengwa kuliko vipindi vingine
9. muafaka zanzibar
10. taifa stars imeweza kucheza mechi nyingi za kimataifa na hatimae kunyakua kombe la SECAFA
11. brazili kuja kucheza tanzania
12. Rais kahudhuria mechi nyingi kuliko rais yeyote aliyetangulia
13. wahitimu wa sekondari wamekuwa wengi zaid kuliko kipindi chochote!
14. nchi imeendelea kuwa na amani
namengineyo mengi sana
hii ni awamu ya kutangaza mafanikio