Huelewi kimya! Mtu akiwa na akili zisizo za kawaida anaskip! Ukifanya thesis unaweza kuruka! Kama aliruka ni extraordin
Wewe unafuatilia PHD halali za watu wakati sisi tunahangaika na waliomteka Dr Ulimboka na wanaotaka kuwauwa viongozi wetu watetezi wa haki.
Akili zingine za ajabu kweli????
By the way, ulisoma wapi na mwaka gani? Tunataka tuone "flying colours" zako, mkuu!Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.
Ni kweli wanaweza kuangalia hata wanaofundisha huko ni watu wa aina gani:Yaani:Ni Prof..., Prof..., Prof... mpaka na basi.http://www.urbaniana.edu/en/ateneo/cons_fac.htmRiz@ nikusaidie kidogo kuelewa:Chuo cha St. Urban University, Rome, ambacho huchukua wahitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani, wanafunzi kutoka vyuo shiriki hasa Seminary huwa kama ifuatavyo:Vyuo vingi nchini Tanzania kama Kipalapala Major Serinary, Peramiho Major Seminary, Segerea Major Seminary na sasa Morogoro Religious Major Seminary baadhi ya wanafunzi huchukua kozi za moja kwa moja na kufanyia mitihani ya St. Urban University, Rome na kupata shahada za awali, na waendapo huku ni kudeal na PHD tu.St. Urban University, Rome mfumo wake wa elimu si kama Chuo cha kibongo mlimani au Dodoma Univ. Kule Rome mtu akianza kupiga mbizi kama hakatishi ataendelea hadi kieleweke kupata PHD, si kama bongo, wale jamaa wana mfumo wao.Kwa taarifa tu kujiunga na chuo kile kuna qualifying test, hata kama una PHD za Marekani au wapi lazima upige hiyo qualifying test yao kupima uwezo wako. Pale haingii mtu kwa kuangalia sura au anatoka wapi ila bongo lifanye kazi. Ujue ni chuo pekee duniani kutoka mataifa yote na hivyo anayetia mguu pale ujue amechujwa vya kutosha.
Hebu cheki hapa halafu uniambie kama staff wa St Urban ni wa calibre ya online:http://www.urbaniana.edu/en/ateneo/cons_fac.htmLiberty .... matter of fact you can get one on Ebay for $5.99.
Tehe tehe watu kwa kudiscuss za wenzao wamo wakiletewa za kwao wanakuja kama wamewashwa.Kama hupendi kusemwa na wewe usiseme watu.Kwa naona ndo fashion haya mambo ya macv siyapendi manake kila thread sasa hivi ni hii mijitu
Ni kweli wanaweza kuangalia hata wanaofundisha huko ni watu wa aina gani:Yaani:Ni Prof..., Prof..., Prof... mpaka na basi.Pontificia Universit Urbaniana - Ateneo
Ulipochemka kama mwanzisha thread ni kutokujua ama kugundua Interval ya muda na vipindi vya elimu aliyonayo,pia fuatilia elimu ya mapadri-katoliki utajipima wewe mwenyewe kuwa ujiweke kunye kundi la watu gani....Hapa Dr Slaa alivyokuwa mbunge hana BA wala MA lakini ana PhD
Member of Parliament CV
Salutation Honourable First Name: Dr. Wilbrod Middle Name: Peter Last Name: Slaa Constituent: Karatu Political Party: CHADEMA Office Location: P.O. Box 119, Karatu - Arusha Office Phone: +255 784 666995 Ext.: Office Fax: +255 22 2668866 Office E-mail: wslaa@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 29 October 1948
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="align: center"] Member picture[/TD]![]()
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
EMPLOYMENT HISTORY
School Name/Location Course/Degree/Award St. Thomas Aquinas University TransWorld Tutorial College, London Kwermusl Primary School(Mbulu) Daudi Primary School Karatu Primary School Dung'unyi Seminary School Itaga Seminary School Kibosho Seminary School St. Urban University, Rome Kipalapala Seminary International Eye H. Centre
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]Advanced Diploma in Rural Development[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[TD="align: center"]Certificate in Management[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1958[/TD]
[TD="align: center"]1960[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1962[/TD]
[TD="align: center"]1965[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1966[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]Certificate in Philosophy[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[TD="align: center"]PhD (JCD) Law[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"] PHD [/TD]
[TD="align: center"]Certificate in Theology[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[TD="align: center"]Certificate in Eye Health[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
JF Daima...😛eace:
| The Tanzania government agreed to buy an overpriced radar, which it cannot maintain now. It came to be known later that more than a third of the total purchasing price was paid to a middleman of British citizenship to secure the contract. Also based on an Interpol report, one government minister had siphoned more than £1m to his bank account in Jersey. After many international legal actions, BAE was ordered by court to pay £30m to Tanzanian government.[SUP][1][/SUP] |
| The scandal consists of fraudulent payment of about TSh133 billion ($116 million) made by the Bank of Tanzania to 22 companies in the financial year 2005/06 involving the repayment of the country's external debt.[SUP][2][/SUP] After the transactions became wildly known, the President sacked the Central Bank Governor and asked "kindly" those who looted the national treasury to return the money. A few month later, according to a government pronouncement, nearly half of the money (Tsh 60 billion) had "mysteriously" found its way back into sate coffers. The Attorney General and the Inspector General of Police have refused to disclose the names, pleading for patience because the investigation is still going on. So far, not all monies have been returned, and the government has neither released the names of the culprits nor decided to take any legal actions against them.[SUP][3][/SUP] |
| Government officials in the previous administrations had taken advantage of the privatization policies and privatized national mines to themselves. A good example is the Kiwira mines, which were privatized to two individuals: the president and his minister for Energy and Natural Resources. The President of that time, Benjamin Mkapa, was rather "smart", registering his shares as AnBen Company; AnBen standing for first names of his wife Ann and himself Benjamin.[SUP][4][/SUP] |
| In 2006, Tanzania faced a serious crisis in electricity supply and, as an emergency measure, Richmond was awarded a contract to supply generators to provide 100 megawatts at a cost of TShs 172 billion. The generators failed to arrive on time and, when they did, they did not work as required. The pipeline was never built and the generators were provided by another company. Under part of the contract, however, the government agreed to pay some $137,000 a day regardless of the amount of electricity provided. Opposition MPs began to smell a rat and the House of Assembly set up a Select Committee to investigate the whole saga under the chairmanship of the ruling CCM Kyela MP, Harrison Mwakyembe. The committee worked diligently and eventually came up with a 165-page report. Parliamentary findings showed the Prime Minister(Edward Lowassa) to be involved in awarding the contract to nonexisting US-based company, and the Prime Minister resigned. However, the Tanzanian government had to keep the contract and keep paying a non-existing company $137,000 US a day without any power being generated. And now Tanzanians are faced with the problem of repaying the debt, with the government increasing the electricity bill by 40% [SUP][5][/SUP] |
| in recognition of his dedicated public service[SUP][8][/SUP] | |
| in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP] | |
| for promoting international relations between Turkey and Tanzania[SUP][11][/SUP] |
| for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[SUP][12][/SUP] |
| at the 41[SUP]st[/SUP] graduation ceremony of the University of Dar es Salaam[SUP][13][/SUP] |
This guy might be too Genius, hakuna BA,MA,mbali na certificates na advanced diploma mara PhD!!! Labda wakati huo mfumo wa elimu ulikuwa hivo. Fungeni mjadala huu
Shida ya vijana wa sasa kama Ritz hawatumii Akili kabisa kuangaza mifumo ya elimu nje ya nchi .
Nani kasema mfumo wa masomo unaanza primary, secondary, high school,bsc,master,phd
Kuuna nchi nyingi ni diploma , masters,phd. Nchi nyingine, ni diploma the masters na phd zimechanganywa
Jaribu kufanya uchunguzi msikurupuke tu.
duh kuna watu wana cv za ajabu sana aisee,hivi kwanini wabongo hatupendi kukaa darasani kusoma lakini tunapenda shahada na kuvaa majoho?