CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Watu wengi hamuelewi mfumo wa kanisa katoliki, ni hv padri anakaa darasani kwa miaka 7 ambapo ndani yake hautasikia degree wala masters. Ambapo kwa hali ya kawaida kwa muda huo mtu ambae yupo kwenye university nyngne anaweza kuwa amemaliza masters.. Na mchangunuo wake upo hivi, baada ya kumaliza form six:
- miaka 3 philosophy; ambayo kwa hali ya kawaida ni degree hiyo, ila kutokana na mfumo wa kanisa wanaiita certificate. Baada ya hapo inafuata
- miaka 4 mingine ambayo husoma full specialization in THEOLOGY.... Na hapo ndio anaweza kuwa padri
-
 
Mkuu, kweli huku kwenye JF kuna Maboya sana, yaani hata unachondika hawajakuelewa! Waandikie Kikwere, ha ha haaa...!!!

we kweli kilaza, form four? Kipi usichokielewa? Kuskip?, thesisi?, au extraordinary?,au pote hujaelewa?
 
Watu wengi hamuelewi mfumo wa kanisa katoliki, ni hv padri anakaa darasani kwa miaka 7 ambapo ndani yake hautasikia degree wala masters. Ambapo kwa hali ya kawaida kwa muda huo mtu ambae yupo kwenye university nyngne anaweza kuwa amemaliza masters.. Na mchangunuo wake upo hivi, baada ya kumaliza form six:
- miaka 3 philosophy; ambayo kwa hali ya kawaida ni degree hiyo, ila kutokana na mfumo wa kanisa wanaiita certificate. Baada ya hapo inafuata
- miaka 4 mingine ambayo husoma full specialization in THEOLOGY.... Na hapo ndio anaweza kuwa padri
-

Pamoja na hayo kutoka ka CHETI hadi PHD dokita wenu NOUMA!
 
tangu nimfahamu Rits naona mambo yake yanafanana sana na TUNTEMEKE. mara nyingi threads zao hazina akili hata kidogo.Huyu Dr Slaa unae panga kumchafua humuwezi. dunia imesha mtunuku zaidi ya hiyo PHD, nimsomi wa kiukweli.anayafahamu mambo vizuri ,na siasa ndio nyumbani kwake. huyu Dr ni wa ukweli na ndio maana anawakosesha usingizi nyie CCM wote.mnajua ni kwanini majeshi yenu yote mmehamishia cdm? kwasababu ya anaye wanyima raha, Dr slaa.
 
Unadhani kila nchi ina bachelor degree? Ficha ujinga wako, au ndio elimu yako ni ya kata?


nimemaliza diploma yangu ya Computer Science Urusi nimesoma miaka Mitano, mwaka mmoja wa kusoma kirusi. Nilivyokuja Bongo TZ. TCU wakanipa Degree. Diploma ya Urusi ni sawa na Degree ya Tanzania.
 
nimemaliza diploma yangu ya Computer Science Urusi nimesoma miaka Mitano, mwaka mmoja wa kusoma kirusi. Nilivyokuja Bongo TZ. TCU wakanipa Degree. Diploma ya Urusi ni sawa na Degree ya Tanzania.

Mh, sijaelewa hapa, unamuonyesha jamaa hujaishia shule za kata au unamaanisha TCU ifanye review ya vyet vya Dr anayeongelewa labda anaweza kuwa na B.A na M.A za Kibongo kwa vyeti alivyonavyo...mwe..!!!
 
Athari ya shule za kata hiyo.
Au ulitaka apewe 'degree ya heshima ya UDOM' ndo awe dakta.
 
Unless kama kichwa kimejaa matapishi, lakini thread unayoleta hapa ipo majukwaani kwa miaka sasa. Shughulisha ubongo wako, sio kumtumikia mume bila kufanya hata vetting ya analokutuma.

Mkuu umenitisha sana hay maneno yako yanonekana una jazba sana,jamani punguza huu ni mwaka mpya mimi leo hata ukiniudhi namna gani nakuombea kwa mungu tu,leo sio siku ya kukasirika ungesubiri kesho mkuu,hebu angali tena hapo kwenye RED!!!!!!
 
Mkuu Ritz umewasababishia watu BAN humu kwenye hii Thread yako,dah!!!!!!!!! wameanza vibaya mwaka,hlfu inaonekana Mods mwaka huu watakuwa wakali hii ni salam tosha kwa wale waliozoea kuwaona wenzao hawafai,safi sana Mod kwa kazi nzuri mmewaharibia hawa jama siku yao,inagawa wamependa.

Vipi mwaka mpya lakini Mkuu Ritz?
 
Mimi nadhani maelimu ya dini yasitambuliwe na tcu manake hata mashehe nao watataka waitwe madr kupitia madrasa
 
PHD bila ya Masters haya watafuteni wengine sie mshatukosa
 
ingekuwa hiyo ni CV ya mtu wa CCM comments zingechange
W.slaa is a walking corp, walking disaster, he is just like a ghost
he will never be the presdent of Tanzania
 
Mungi,

Kwani Dr Slaa, BA, MA, kasoma University gani?

@ritz Hiyo BA si ni sawa tu na Hiyo Advance diplama aliyosomea hapo kwenye CV yake!

Halafu kwakukusaidia pia Vyuo vikuu vingi duniani vinapokea wanafunzi wenye Bachelor (Bila kupitia darasa la Masters) kuja kusoma PhD provided walishamaliza course work zote zinazohitajika (plus cousrse work zilizoko kwenye masters) na kuandika peper zaidi ya 2 wakati walipokuwa waanasoma bachelor.

Kitakachokuwezesha kusoma PhD ni kuwa umeshamaliza package ya course work zote zinazohitajika(za bachelors na za Masters + kuandika Paper zake zote kwapamoja) hatakama umezisoma zote wakati ukiwa unasoma degree ya kwanza.Ukimaliza utakwalifai kusoma PhD bila kupitia hilo darasa la masters.

Kwamaana hiyo Utakuwa na PhD bila kupita kwenye darasa linaloitwa darasa la Masters.Cha muhimu ni kukamilisha hiyo package ya masharti ya kujiunga na PhD.

Mwaka huu mbona mnapata tabu na Dr sana? na mtamfatilia hadi kukosoa soksi anazovaa maana kila kitucha kumkosoa mmekikosa
 
Ninachokiona hapa ni watu kutafuta namna ya kumchafua dr slaa. Hizi siasa nizakimaskini sana. Nivizuri kupingana kwa hoja ktk mambo ya msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom