Ana uchungu na nchi yake.Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.
Weakness.
It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
Ana uchungu na nchi yake.
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
I agree but he got it wrong...
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.
Weakness.
It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
vp dogo ile kitu bado unayo hp mende wamezidi
I agree but he got it wrong...
Ana uchungu na nchi yake.
akazae!
Haya sasa wanaohoji elimu yake wanaweza kujipima naye? Habari ndiyo hiyo. Je shule yako.ni ya kiwango gani?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hapo ni lazima uchanganyikiwe.Sio wewe tu watakuja wengine hapa povu la Omo litawatoka.! Tukimaliza kujadili Elimu ya Dr.Slaa sasa tuhamie Elimu ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif,Kinana(The Dentist), EL (sanaa na maigizo) JK (Hiyo Gentleman Degree) haina mjadala anyways..........! Kidding but message sent!
On a serious Note,tujadili mifumo ya elimu na sera.Tuache kujadili watu
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
nilisahau na panya nao wapo bro wanasumbua kama niuzie kama unaona noma kunipa bureUnajiita kijana lakini chama chako hukujua kama ni cha mrengo wa Kiliberali hadi juzi ulipoona wabunge wako wakipandisha mapepo bungeni.Jifunze kujisomea ujue dunia inaendaje.Matusi yako kwa Chadema na viongozi wake siku zote humu hayakusaidiiAcha kufuata mkumbo!