CV ya dereva wa tingatinga la jiji la Dar

CV ya dereva wa tingatinga la jiji la Dar

Huyo Dawa yake ndogo, nitafte kama unanyumba inataka kubomolewa, akifika atakuta Bahari tu atageuka. Mnawachekea sana hawa
 
IMG_20171016_171732_357.jpg
 
Mkuu naona kama vile unawatuhumu au kuwahukumu kimakosa? Wale jamaa wanatekeleza agizo la mwajiri wao. Wakikaidi wanapoteza ajira.

Operator (dereva) wa tingatinga liliokuwa linataka kubomoa msikiti na kanisa pale Kimara leo alizungukwa na watu wakamwambia wewe jamaa una roho ngumu/mbaya sana.
Yule mzee akatabasmu akajibu mimi mnanichukia bure, mimi ni mtu mdogo sana. Waliopo juu huko ndio wa kulaumiwa. Akamalizia kusema nyie si ndio mlikuwa mnataka mabadiliko? Sasa mabadiliko ndio haya, mtapata barabara nzuri ukisimama hapa (Kimara) unaona hadi temboni.
 
Duu ila kajibu kwa hekima mno
 
Yaani huwezi amini aliekuwa anaendesha lilokuwa linabomoa kuanzia kimara kwenda mvezi kwanza alikuwa kavaa mask (zile za kininja[emoji84] )napembeni kaweka mzinga wa konyagi[emoji13] [emoji13] ila la kusikitisha alikuwa akiona nyumba nzuri analia kwanza alafu kazi ndo inaanza
Umenikumbusha story za the Bold yule chinja chinja saudi Arabia, Anawaomba msamaha ndugu wa mchinjwaji halafu anaenda kummaliza mhusika, Dereva analia au anacheka,
 
Ila tukienda kwenye mizania ya haki wao ni watekelezaji tuu... Watoa maamuzi ndio wanaweza kuwa na shida kubwa kwenye CV kuliko yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji144] ni sawa tu na mnyongaji yeye anatekeleza tu hukumu ila mtoa hukumu yupo
Ni kama ile spika made in lake zone na model number harakati huru
 
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi
Ni vema watu wakajifunza kutii sheria
 
Back
Top Bottom