CV ya dereva wa tingatinga la jiji la Dar

Tanga alikuwepo mmoja mwenye sifa ka hizo akambomolea mpemba wakati mpemba alimsihi asubiri atuo vitu vyake dukani kwaka akamkatalia.
kesho yake yule dereva alikufa saa sita saa saba kaaza kuvimba na kutoa funza .

Balaa la wapemba c dogo waulize Simba na Yanga, jamaa wanajua kamati ya ufundi, akisema yakhee usintunishie nsuli, basi mwache tu.
 
Tanga alikuwepo mmoja mwenye sifa ka hizo akambomolea mpemba wakati mpemba alimsihi asubiri atuo vitu vyake dukani kwaka akamkatalia.
kesho yake yule dereva alikufa saa sita saa saba kaaza kuvimba na kutoa funza .
Kwani kufa ni adhabu?
 
CV ya derevawa tingatinga LA jiji ni kama ya mnyongaji mkuu anaebonyeza batani ya kutegua stuli wakati wa kunyonga
 
Kwanini myongaji asitafte kazi nyingine yakufanya .mpaka anakubali kuwa mnyongaji inaama kazi yakunyonga anaipenda .anaetuma hapati laana kubwa kuliko yule anaenyonga .anenyonga Ndo katili.
Ndugu yangu, kazi zingine mtu hujikuta tu yumo.
Mfano wabomoaji tunaowaona wakiporomosha maghorofa sasahivi.
Tangazo linatoka halmashauri fulani kuwa, wanataka kusaili maopereta wa matingatinga.
Mtu anapeleka vyeti, anapass, anapangiwa kazi, bila kuelewa mipango ya mbele ya safari.
Pia wanyongaji. Mtu anatamani kuingia uaskari jela. Baada ya mafunzo na kupangiwa kazi hujikuta tu kadumbukia kwenye hicho kitengo.
Hivyo hatuwezi kumuelekeza lawama za utekelezaji wa mwisho.
Ungesemea baadhi ya nchi za kiArabu ambazo kazi za unyongaji hutolewa tangazo kwenye vyombo vya habari. Hapo mnyongaji waweza sema anafurahia kazi yake kwa kuwa aliichagua.
 
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi
msg sent kwa mkuu maana naye ni dereva sio???
 
Hata madereva wa UBER,haiingii akilini eti leo tar 12/10/2017 wanasambaza Ice cream mjini hapa tena bure.
Imagine Ice cream shilingi 100/=
 
Nasikia mala nyingi wanao pewa kazi ya kubonoa huwa ni wafungwa wenye uwezo wa kuliendesha hilo tingatinga
 
Hata madereva wa UBER,haiingii akilini eti leo tar 12/10/2017 wanasambaza Ice cream mjini hapa tena bure.
Imagine Ice cream shilingi 100/=
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu Mshana Jr nisaidie kunirogea mtu aliyenivunjia ukuta wangu! Ikiwezekana tuwatoge mpaka waliotoa agizo kwamba nyumba zivunjwe!!
 
Wala usijali Mungu anawaona
 
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi
Kuna kijiko kilikuwa kinabomoa Nyumba kumbe alikuwa anabomoa Nyumba yake Bila kujijua
 
Mshana umeshawahi kujiuliza juu ya wahudumu vyumba vya maiti?
 
Back
Top Bottom