yeahWana pepo la kimaskini na wivu mbaya
Yaani huwezi amini aliekuwa anaendesha lilokuwa linabomoa kuanzia kimara kwenda mvezi kwanza alikuwa kavaa mask (zile za kininja[emoji84] )napembeni kaweka mzinga wa konyagi[emoji13] [emoji13] ila la kusikitisha alikuwa akiona nyumba nzuri analia kwanza alafu kazi ndo inaanzaMojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi
Thubutu....pale kimara barutu njia ya kuja kutokea chuo kuna nyumba kama ya 3 kulia kama ukishaingia pale katapila kila likifika dereva anaamsha mashetaniDuh..naskia albadili haiwapatagi hawa
Utu wanao hadi kuna wengine wanakuwa wamefungwa pingu mguuni sijui wanakuwaga wafungwa wale..Hili suala nishajiuliza sana nikakosa jibu juu ya utu wa hawa watu!
Ndo maana kuna madereva wengine wanabomoa huku wanafuta machozi kwa uchungu ila posho yao ni ndefu kulingana na kazi alioifanya maana wanalipwa kwa masaaIla tukienda kwenye mizania ya haki wao ni watekelezaji tuu... Watoa maamuzi ndio wanaweza kuwa na shida kubwa kwenye CV kuliko yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji144] ni sawa tu na mnyongaji yeye anatekeleza tu hukumu ila mtoa hukumu yupo
Hamna bhana labda wee uliwauziBado umesahau wajeda Wana roho ngumu hao
Duniani hakuna uchawi ni story za kusadikika tu hizo.Pia lazima awe MCHAWI....maana kuna nyumba zingine bila kuwa MCHAWI , ukiivunja kesho huamki
Wafungwa wengine hutoka wapi?Wengi wanakuwa ni wafungwa kutoka magerezani,
Thubutu....pale kimara barutu njia ya kuja kutokea chuo kuna nyumba kama ya 3 kulia kama ukishaingia pale katapila kila likifika dereva anaamsha mashetani
Ok....kama hakuna uchawi hyo hirizi uliyoifunga makwapani ya nn?Duniani hakuna uchawi ni story za kusadikika tu hizo.
Tanga alikuwepo mmoja mwenye sifa ka hizo akambomolea mpemba wakati mpemba alimsihi asubiri atuo vitu vyake dukani kwaka akamkatalia.Duh..naskia albadili haiwapatagi hawa