Kazi za madereva

Kazi za madereva

Recruitment1

New Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
1
Reaction score
0
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – DEREVA MWENYE UJUZI WA UFUNDI WA MAGARI

Tunatafuta dereva mwenye uzoefu wa udereva na uelewa wa ufundi wa magari, atakayekuwa na jukumu la kuendesha magari, kufanya ukaguzi na matengenezo ya kawaida, pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu matengenezo na changamoto za kiufundi za magari.

*SIFA NA VIGEZO

  • Awe na umri wa miaka 25–40.
  • Awe smart kichwan (uelewa wa haraka)
  • Awe na leseni ya udereva daraja E.
  • Awe na uzoefu wa udereva wa zaidi ya miaka 5.
  • Awe na uelewa mzuri wa ufundi na matengenezo ya magari.
  • Awe na uwezo wa kufanya ukaguzi na matengenezo ya kawaida ya magari.
  • Awe na uwezo wa kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu changamoto za kiufundi na mahitaji ya matengenezo ya magari.
  • Awe na simu janja (Smartphone).
  • Awe tayari kusafiri na kufanya kazi mikoani kwa muda wa hadi miezi sita (6).
  • Awe anaishi maeneo ya tegeta bunju au maeneo ya jirani yanayofikika kwa urahisi.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Waombaji watume CV kupitia WhatsApp namba 0622943394 au mkisua@bytrade.or.tz

Mwisho wa kupokea maombi: 15/11/2026.

Karibu kutuma maombi yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom