Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Lissu anamudu hoja hahitaji bunduki, jiwe ndio hawezi hivyo ni lazima bunduki itakuwa suluhu yake.
Hiyo sio hoja bwana, wewe vipi. Yaani kufunga watu jela ndio umekuwa "Legend". Je kama aliwaonea. Your reasoning reflects shallow thinking and I wish you didn't post this.
TL anamudu umbea na uchonganishi kaongeza hoja ya wanawaita mabeberu na mnawachangia 50% ya bageti. Uongo mwengine huu wa kudanganya kuwa bajeti inachangiwa kwa 50% na USA na,Ulaya peke yao. Uongo uliotukuka.
Mkuu alijibu nn?Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
Bora uongo kuliko kutumia risasi kupambana na.muongo
Jiulize wasaliti walifanywa nini hata kwenye misahafu.
Kusema masilingi hajapwaya ni sawa na kuitetea simba kuwa haikupwaya mechi iliyopita ugaibuni, aliniacha hoi pale Tundu lisu aliposema hii hoja ni ya kijinga, na yeye masilingi alipoulizwa ana semaje et unamuona anavyotukana vyombo vya usalama,Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na nyie mliamua kumpiga risasi kwa kufuata misahafu
Hatukuelewa vizur kudhungu!!mbona hard talk ya lissu hamkuizungumzia/wakati na yeye alipuyanga.
balozi anajuta kushiriki voa bora hata angetoa udhuluBaada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
matamshi yake yalifanya nijue kua anatoka kwa kina shomile😆😆😆 nilicheka alipoomba po et braza lisu akamwambia acha wewe toa hoja😆😆😆😆😆Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
Uchochezi wa TL umetupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tumeanza na vita vya maneno mitandaoni. Tukikutana uso kwa uso ni ngumi kama ilivyotokea kwa yeye TL na Masilingi. Akitugaia bunduki ndio kabisa vita ya risasi na mitutu ya bunduki. Ndio maana tunawahimiza wenye dhamana ya chukua hatua za makusudi kudhibiti huyu jamaa wafanye hivyo bila kuendelea kuchelewa. TL anatamani siku moja Watanzania walio wengi wafate mkumbo wake na watembelee gongo kama yeye.
Jiulize wasaliti walifanywa nini hata kwenye misahafu.
Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
Nani alimpiga risasi Akwilina? Why should Mbowe and team be prosecuted! What about Wilbard mashauri is doing? WE unadhani dunia ni takataka kama CCM who can not reason!Tofauti na Mtazamo wako....Balozi alikabili vilivyo uzushi uliopitiliza wa Lissu.Amesaidia kuwafahamisha walio nje ya nchi uhalisia wa mambo kama vile Ukweli kuwa akina Mbowe hawajafungwa gerezaani kama anavyodanganya... hao wamelundikwa mahabusu tena kwa kosa la kukiuka masharti ya dhamana, kwa kesi ya jinai na si ya kisiasa. Kuwekwa mahabusu na kufungwa ni mambo mawili tofauti. Big up Masilingi.
Check CV yake ipo kwenye google.Mkuu, naomba ufunguke zaidi hapo kwenye ugenius wa sheria.
Nataka kujua haswa elimu na uzoefu wake.
Na pia hilo la kujaribu "kumtoa Lissu kwenye angle fulani" unadhani ni sustainable? Litamzuia Lissu asiendelee kuongelea angle hizo?
Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako
Nani alikuambia kaenda kutetea? VoA waliona wasisikilze upande mmoja. TL analipwa na nani kwa ajili ya nini? Tusaidie wewe inaonekana unajua.