Ni kweli kabisa. Mfano, Lissu alishindwa kuweka wazi; anatuhumu polisi kutohoji yeyote au kutotangaza kuwa wamemhoji nani?Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa...I like this observationBinafsi Nampongeza Balozi, si kazi ndogo mchana kweupe kutetea rangi nyeusi,kuwa ni nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
He was firm not out of control! He managed to provoke his opponent to lose focus on his plan.self restrain but be in control....
Ok....little is known. Nasikia zaidi kuuzwa Kilimanjaro HotelJua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Huwezi kuelewa mashabiki kama nyie. Kama unasikiliza discussion kama hizi ukiwa na upande lazima utajadili kishabiki kama mambo ya Simba na Yanga
HahahaaaBinafsi Nampongeza Balozi, si kazi ndogo mchana kweupe kutetea rangi nyeusi,kuwa ni nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaonekana mtupu hata katika sheria ana ubabe ubae mwingi na vijihasira hasira....uyo ni mtamu ukimpeleka kwenye ligi lazima alieJua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Hivi si alikuaga mkuu wa mkoa wa mwanza kipindi fulani zamani ama sio huyu?Masilingi ni umri unaomkaribia JK kama sijakosea. Wengi humu ni vijana na hawamjui ndio maana wanaulizia CV yake.
Ni muhaya kumbe jamaaMwijage na Masilingi wananifanya nisitaje jina langu kamili mbele za watu kudisclose my tribe aseeh..!!
Nimeangalia video ya Lissu na huyu balozi wetu, kiukweli kama binadamu nilie kamili, nime muonea huruma balozi wetu, ana tia huruma mnoo. so sad maana hata kujieleza kwakwe shida kidogo
Kama unasema Mwigulu ni mtaalamu wa uchumi....basi itakua ulitaga form 4 wwmasilingi ni msomi mzuri,ana degree saba,CCM tuna hazina kubwa ya wasomi,mfano profesa kabudi,ana PHD tatu,mwigulu ni mtaalamu wa uchumi africa nzima,professa mkumbo yeye amesoma hadi akarudi chuo kikuu kufundisha degree
Balozi Masilingi: Ni muungwana na mwelevu pia ana staha nyingi na mwisho ni diplomat - sasa Lissu hayo yote hana yeye kucharanga ulimi kama amemeza cassette akitapika matusi na uongo - mtu mzima mwenye kuiwakilisha nchi yake hawezi kushindana naye. Lissu anafanya yale yafanywayo na maiti kaburini - huku akisema wataniona wapi (Ebyo omufu akolela a'nyanga ati baliba bambonaa!). Hivyo msilinganishe.Ndio maana umeona alikuwa mpole zaidi na kuonekana kuzidiwa kwa kila jambo
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo
Siyo kweli Balozi Masilingi alimueleza kwamba Lissu anatafsili hiyo sheria vibaya - Balozi anauelewa wa sheria kuliko Lissu. Lissu akaanza matusi. Na Balozi akamwambia kwamba hayo ni matusi. Ndipo niliona Lissu anaweweseka kiugonjwa ugonjwa - akapandisha kifafa cha madawa.Ongeza na hili:
Alibisha sana juu ya hoja aidha Freeman Mbowe na Esther Matiko kuwa "there are in prison because of sedition offenses"
Yeye bwana yule pasipo hata kufikiria akasema "they are not in prison........"
Mtangazaji akam - interrupt kwa kumshona swali muunganisho...
"So, you mean, they are free, Mr Ambassador?"
Mr Mashilingi akajibu:
"No, they are in rumande😛😛😛😛😛!!"
Kule kwenye mahojiano ya Kiswahili, nadhani kungekuwa na muda wa kutosha zingeweza kupigwa ndani ya studio!!
Ilifika mahali Tundu Lissu akamuwakia Masilingi kwa kutetea ujinga wa kung'ang'ania eti aende nyumbani akahojiwe hata kuuliza uanasheria wa Mashilingi:
"Wewe ni mwanasheria wa wapi balozi usiye jua kuwa ipo sheria ya mtu yeyote kuhojiwa po pote ?
Kwa kifupi TL yuko very smart. Huwa wanajaribu kumwingiza kwenye 18 zao, lakini anaukwepa mtego huo na hivyo kubaki wanaelea hewani!!
Jambo likiongelewa sana especially shutuma nzito kama hizo bila kukanushwa basi huonekana kuwa ni kweli.
Kama ni usaliti viongozi wa ccm walichokifanya taifa hili, leo hii ingekuwa tumepanga mstari mahali tunatubu dhambi za mauaji. Tumieni madaraka mpendavyo na muwaumize wote wasiowasujudia, iko siku madaraka yataisha hamtaamini kibao kitakavyogeuka.
Mulize TL kwanza kwa nini alinunuliwa na Fedha ya waliomtuhumu kwa ufisadi wakahubiri nabadiliko? Ilikuwaje akanunuliwa na wezi wa dhahabu akapinga juhudi za serikali na mh Rais JPM kujaribu kupambania haki yetu?
TL si malaika kama mnavyotaka kuaminisha watu hapa. Sisi wengine tunaona analipia udhalimu wake.
Wewe na wenzioNyie!! wewe na nani?
Mimi sijui nani anagharamia safari za TL lakini dunia hii inao watu wema wengi tu. Mbona hujauliza nani amegharamia matibabu yake Nairobi na Belgium? Kwa mfano, hiyo misaada ambayo Mabeberu walitaka kuipatia nchi yetu na sasa wamesimamisha kwanini sehemu ndogo isitumike kumgharimia Lissu ambaye ni mwanasiasa wa upinzania aliyetendewa vibaya kwa sababu ya siasa? Isitoshe Lissu hakuenda kutibiwa Belgium kwa bahati tu. Alikwenda huko kimkakati; makao makuu ya EU. Na Jarida la Economist limepata kuandika "How to save Tanzania: start by stopping Magufuli. How do you stop Magufuli? There are many ways to skin a cat!
Jiwe aliyeagiza apigwe risasi ndio malaika?