Cute story

Cute story

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1421496236185.jpg
 
Mtatongozana utani utani huu. Shauri yenu mie simo

Uwiiii kumbe anafanya kutongoza mi namwitikia tu hahaaaa Elli nimeacha huyu asije nitafutia balaa
 
Last edited by a moderator:
akiniipenda nafanya kweli
nina miaka saba sijafanya nadhani zitajaa fanta

Uwiiii kumbe anafanya kutongoza mi namwitikia tu hahaaaa Elli nimeacha huyu asije nitafutia balaa

Hahahahahaaaaa Mpwa ulidhani kutongozwa ni hadi aseme kaa sawa sasa nakutongoza! Mtu mwenyewe ashasema ana chupa nzima ya fanta, shauri yako. Ila sijasema umkatae
 
Last edited by a moderator:
akutongoze Mara ngapi sasa? mtu mwenyewe keshafunguka...
 
cute story imegeuka "cute approach story" ha! ha! haaaaaa! verry interesting indeed
 
Hahahahahaaaaa Mpwa ulidhani kutongozwa ni hadi aseme kaa sawa sasa nakutongoza! Mtu mwenyewe ashasema ana chupa nzima ya fanta, shauri yako. Ila sijasema umkatae

Hahaaaaa potezea asije akaona Mr hapa
 
kama umeolewa basi
mke wa ntu sumu
_ngoja ziongezeke zitampata tu mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom