Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 126
- Thread starter
- #21
Ogah,
mimi nakubaliana na wewe,lakini kwa bongo kisomo na kazi ni vitu viwili tofauti na hapo ndipo penye tatizo.hapa kuna mambo mengi yamejificha ndio maana utakuta kila kitu kimewekwa kwa mafumbo mafumbo tu.sisi ndio tunaweza kibadilisha hii TRA kama nilivyosema mwanzo hakuna njia ya mkato ni kupambana kwa kutumia sheria zao wenyewe.
Husione tabu kutafuta haki yako,na ukiwafanyia hivyo mara moja tu basi siku nyingine wakiona mzigo wako wataogopa kufanya ujinga.
Njia nyingine rahisi ili wasiuplift mzigo wako katia bima,hawawezi kuuplift hata kiama kije.
Mkuu hii issue ya bima sijaielewa vizuri labda uniewelshe mkuu. However hii pia nadhani nayo inachangia kuogza gharama kitu ambacho kama TRA wasingekuwa na mambo kama haya wala hii isingekuwa issu. Na kama alivyosema jamaa hapo juu kesi ikienda mahakamani hadi iishe ni miaka. Kwanza sijui Tanzania tunamahakama ngapi za biashara maana naamini kesi kama hizi inabidi zipelekwe kule.