We ni mwongo!! Au labda km umeolewa na wahindi wa spanco ndio unawatetea....hakuna mpokea simu anaechukua mshahara wa milion spanco pale ( sasa wanajiita Ison BPO).....jamaaa wazinguaji sana, watanzania tunageuzwa watumwa nchini mwetu.Mshahara wa kuanzia laki na nusu, unakua unafanya kazi masaa manne kwa siku for 3 month, ukionyesha upo serious unaaamishiwa kwenye masaa nane unapanda hadi 270,000 per month, u stay there in probation for 6 month ukionyesha u still serious unakua permanent employed mshahara unapanda hadi kwenye 350,000 , cha msingi ni juhudi zako and i support them spanco coz watanzania ni watu wa ajabu we r not hardworkers at all, mtu anataka apokee mshahara while kazi hafanyi,Mtu anataka apokee mshahara wakati kwa mwezi ana ED Kumi za uwongo mtupu hakuna kuumwa kichwa wala mafua, mtu anataka apokee mshahara mwisho wa mwezi wakati mda wote yupo busy facebook while attending customers,,, Cha msingi cha kufahamu pale spanco kuna watu mnapokea simu sawa mnafanya kazi wote masaa nane lakini mwisho wa mwezi wanaondoka hadi na 1 million as Basic Salary
hellow morning ,am the one looking the customer service work,able to work at any company.are u? compentent enough to work at call center please ni pm
kuna Customer Care na Customer Service Representativevp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
uliapply kupitia elorink au direct?mimi ni mmoja wapo nilipiga AIRTEL CUSTOMER CARE, kazi yake si ya kitoto hasa shift za usiku. wananyanyasa
Lakini, .....mtumikie kafiri upate ujira wako.
Hata wale wakongwe waliojiriwa tangu enzi za Zain, hawajafikia mshahara wa 1m? Wapo customer care waliuzwa kwa spanco wakitokea Zain na baadae airtel HQ Moroko then spanco BPO mtava ndani ya Quality CentreWe ni mwongo!! Au labda km umeolewa na wahindi wa spanco ndio unawatetea....hakuna mpokea simu anaechukua mshahara wa milion spanco pale ( sasa wanajiita Ison BPO).....jamaaa wazinguaji sana, watanzania tunageuzwa watumwa nchini mwetu.
chukua cv yako tu, peleka ofisi za erolink ziko morroco au kama mgeni nenda mpka mwenge chukua bajaj ya jero waambie akupeleke BN, kuna walinzi pale waambie nmeleta cv erolink. BN inapakana na chuo cha tumaini darobama mi mgeni hapa siwezi kukupm bt nitafurahi kama nitapata customer care bt ni voda au zantel not airtel au tigo sababu spanco nawajua men
thanks if you can assist me i will be happy
wanalipa kulingana na viwango vya serikali kwa wanaofanya telecommunication companies ambayo ni 2050 kwa lisaa labda km kutakuwepo bonus ndo kidogo inapanda. kama una njaa na huna pa kwenda cyo mbaya ukaazia hukuHata wale wakongwe waliojiriwa tangu enzi za Zain, hawajafikia mshahara wa 1m? Wapo customer care waliuzwa kwa spanco wakitokea Zain na baadae airtel HQ Moroko then spanco BPO mtava ndani ya Quality Centre
nisaidie ndugu yanguare u? compentent enough to work at call center please ni pm
ni uhakika ajira...? ama ukipeleka wanakusahau...?chukua cv yako tu, peleka ofisi za erolink ziko morroco au kama mgeni nenda mpka mwenge chukua bajaj ya jero waambie akupeleke BN, kuna walinzi pale waambie nmeleta cv erolink. BN inapakana na chuo cha tumaini dar
Ukipeleka wanakusahau..si ndo unachotaka kusikia.ni uhakika ajira...? ama ukipeleka wanakusahau...?