obama mi mgeni hapa siwezi kukupm bt nitafurahi kama nitapata customer care bt ni voda au zantel not airtel au tigo sababu spanco nawajua men
thanks if you can assist me i will be happy
are u? compentent enough to work at call center please ni pm
sasa ndio nini minataka kusaidia watanzania wenzangu,alafu we unaleta za kuleta hapa! tatizo hambebeki
hahaha spanco to be honest salary nasikia lak 2 na nusu am not so sure ki hiv tutafika. Kweli ?????waajir fikirien,
obama mi mgeni hapa siwezi kukupm bt nitafurahi kama nitapata customer care bt ni voda au zantel not airtel au tigo sababu spanco nawajua men
thanks if you can assist me i will be happy
Erolink wanatoa kazi hizo kwa mitandao yote mikubwa Tigo,Voda,Airtel...peleka CV yako kwa hao jamaa watakusaidia!! Usisahau nasikia wananyanyasa kiasi chake maana hawana mshindani kwenye hayo makampuni,si wajua tena wa tanzania kama huna mshindani?
Recruiter mkubwa wa Tigo kwa sasa ni NFT Consult na sio Spanco.....ukitaka Zantel, peleka CV pale Infinity ambao miezi michache iliyopita walikuwa wanafanya kazi na Tigo lakini kwa hivi sasa Tigo wame-base sana kwa NFT Consult!! Kama ni Customer Care Representation (Not Call Centre Agent), NFT Consult(for Tigo) wanalipa vizuri kidogo coz' basic salary ni kama Sh. 645,000/= na ukifika monthly target(sales target) u can get more than tht!
naomba kufahamishwa hawa wote ofic zao ziko wapi nipeleke cv yangu, wengine tunatamani hata hizi kazi za kunyanyaswa , maana hatuna lolote mjini na tushagraduate
Kaka kumbe na wewe ni job seeker? hahaha, kweli jf kuna mambo. Kuna siku ulikua unajitapa kwamba ulimaliza chuo kitambo, na kwamba una kazi yako nzuri tu, mara una kampuni, aisee!! Ama mko wawili mnatumia ID moja nini?Nataka kazi ya call center nani nimtumie cv? Hao spanco na infinity na nft hawana emails? Tuwekeeni tuapply!