Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

Mkuu,Kama Ni kweli hawakutangaza ishu ya Jana kuhusu madini ,bc naungana na wewe na wajitathimini.moja ya chama nilikipenda Ni chadema lakini Sasa nakichukia mno ,popote mlipo mjue hivyo .kwanza Mimi cyo mwanasiasa ila naifaham siasa ,chadema Ni watu wa ajabu mno kibaya zaidi mmetuuza kwa kutoa information za nchi kwa mabeberu mmediliki kuwahonga akina kabendela na wengine now hamna uwezo wa kuwasaidia,Mr President wewe Ni raisi
 
moja ya chama nilikipenda Ni chadema lakini Sasa nakichukia mno ,popote mlipo mjue hivyo .kwanza Mimi cyo mwanasiasa ila naifaham siasa ,chadema Ni watu wa ajabu mno kibaya zaidi mmetuuza kwa kutoa information za nchi kwa mabeberu mmediliki kuwahonga akina kabendela na wengine now hamna uwezo wa kuwasaidia,Mr President wewe Ni raisi

Kwenye hii taarifa kuna sehemu wametajwa chadema !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzia tbcccm pale Kwanini hawatangazi Habari nzuri za upinzani na wanatangaza migogoro tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo habari hata hapa jamvini imewekewa "FOR THE ENGLISH AUDIENCE"?
 
ili uwe msafi lazima utoke kwenye uchafu.. Tatizo na watanzania hampendi kukosolewa . Na nchi zilizoendelea maendeleo yao yanakuja kutokana na ukosolewaji na kujitathmini wap wamekosea alaf wanajirekebisha

Umaskini wakifikra nimbaya sana
Umenena vyema!
Kutopenda kukosolewa ndio kansa inayowatafuna viongozi na hata wanachi wa nchi nyingi za kiafrika hasa hizi masikini.

Sasa mwananchi wa kawaida ataonyesha kukwazwa tu na hali ya kukosolewa. Lakini wenye mamlaka ndio wanaenda deep zaidi, na matokeo yake ndio kama kuminya uhuru wa vyombo vya habari, kuminywa kwa demokrasia na mengine mengi mengi.

Africa tuna safari ndefu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nime tune zote za kibeberu nikakuta hola. Kikeke kasoma kama headline akalala mbele. Ndo waafrika za kuambiwe mkachanganye na za mbayuwayu. At the same time sioni vyombo vya kiafrika vikikomalia hiyo habari.
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
Idhaa ya kiswahili wametangaza.
Sijui upande wa lugha nyingine

hongera sana kwa kulitambua hilo,, ukweli ni kwamba habari yenyewe si nzuri upande wa pili, hebu fikiria kama afrika nzima itataka iwe hivyo itakuwaje, hiki kivita ni kikubwa mno tena cha chini chini kama hivyo vijirasilimali vinapotokea, hebu tuendelee kuliombea Taifa letu TU
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 BAD NEWS IN AFRICA IS GOOD NEWS IN EUROPE"
 
Mzungu anatangaza habari mbaya pekee kuhusu afrika, ili kutuharibu kisaikolojia na tayari tumeshaharibika. Ila na kwa wazamiaji wanavyoendelea kuzamia kwa kasi ya 12G katika nchi zao baada ya miaka 20 sitashangaa kukuta tandale na magomeni imehamia Uingereza, marekani na Ujerumani.
 
Ukitaka kupoteza mda wako sikiliza hizo redio maana wanatangaza mambo mabaya tu kuhusu Africa yetu lakini mambo mamzuri ya Africa hutayasikia .
 
Back
Top Bottom