Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

May 6, 2019
5
15
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu hawana uhakika kama hayo makubaliano yanafaida kwa taifa. Ila watu kupotea si wanapotea?kwanini wasitangaze watu wakipotea? Watu wakipewa uhujumu uchumi kwa kesi za kutoa mimba? Kwanini wasitangaze kama wanafunzi wa chuo kupiga Picha uhaba wa maji chuoni anakamatwa na polisi? Umeona tofauti?
 
Naona umejiunga leo hii JF kuisakama BBC kisa haikusifu, kwani TBC inafanya kazi gani?

Hao BBC unawalipa wewe hadi uwapangie nini cha kuandika au kukipa kipau mbele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nchi gani nyingine ulitaka tuwe tanatangaza habari zao ?
 
BBC hawalipwi kwa kodi za watanzania hivyo hawana ulazima wa kutangaza unachotaka ww. TBC ndio wenye uhalali wa kutangaza habari za watanzania wote lakini hawafanyi hivyo bali wanatangaza habari za ccm tu. Katika mazingira hayo unapata wapi uhalali wa kuitaka BBC watangaze unachokiona cha maana ww?
 
Kwa fikra zako hiyo haikua habari ya kuripoti na vyombo vikubwa kama vilivyo tajwa hapo juu,
ila wangesikia Asad kapote....

Back
Top Bottom