Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

Unao ushahidi wowote wa CDM kuhusika? Yaani dunia ilivyo kijiji bado una mawazo ya kizamani namna hii!
Kama wewe unaweza kupata taarifa CDM wanamuonga Kabendera unategemea BBC washindwe kupata taarifa zaidi ya hizo? Tumia akili kufikiri sio unatumia makalio.
Mkuu,Kama Ni kweli hawakutangaza ishu ya Jana kuhusu madini ,bc naungana na wewe na wajitathimini.moja ya chama nilikipenda Ni chadema lakini Sasa nakichukia mno ,popote mlipo mjue hivyo .kwanza Mimi cyo mwanasiasa ila naifaham siasa ,chadema Ni watu wa ajabu mno kibaya zaidi mmetuuza kwa kutoa information za nchi kwa mabeberu mmediliki kuwahonga akina kabendela na wengine now hamna uwezo wa kuwasaidia,Mr President wewe Ni raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC hawalipwi kwa kodi za watanzania hivyo hawana ulazima wa kutangaza unachotaka ww. TBC ndio wenye uhalali wa kutangaza habari za watanzania wote lakini hawafanyi hivyo bali wanatangaza habari za ccm tu. Katika mazingira hayo unapata wapi uhalali wa kuitaka BBC watangaze unachokiona cha maana ww?
wale watangazaji sio wazalendo kabisa nadhani.nimeshwahi kulalamika.mara kadhaa sielewi.policy ya hicho chombo.ni.nini, na sijui kwanini watangazaji watanzani huwa mara nyingi wanakuwa na negativity kwa nchi yao..inawezekana wana uraia wa kule so hawajali kinachotokea..this is diaspora mind sometimes, i stand to be corrected...kwa tabia hii ndio maana mara nyingine wananchi wanapata hofu ya kuwapa uraia pacha.wale.wote walioamua.kukana nchi.yao......this is.just feeling and thinking loud..
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app

Very true

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivyo vyombo vipo na vimeanzishwa na mabwenyenye kusambaza propaganda zao duniani, hakina jema kwao linapokuja swala lenye manufaa kwa Mataifa hususan ya Africa, we angalia taarifa zao hukuti mambo mema ya Africa yakitajwa na ikitokea yanatajwa basi ujue kwenye jilo jambo kuna mzungu amejipenyeza

Mkuu usiende na mindset za TBC1 huko BBC utakufa kwamba kihoro. Mmezoea TV zinazoisifia serekali mpaka mnataka hata media za nje ziwasifie tu. Sasa hivi vituo karibia vyote vya habari hapa nchini vimepoteza mvuto kisa vinaandika habari kama enzi za Nyerere, badala ya kuangalia walaji wanataka nini. Ile dunia ya kulazimisha habari za serikali tu tena zile wanazozitaka ulishapitwa na wakati, ndio maana sasa hivi watu wenye mitazamo huru wanatazama vyombo vya nje au kutumia zaidi mitandao ya kijamii maana ndio sehemu huru. Hivyo vituo rasmi vya habari vinavyotangaza kijima watabaki wanaangalia wazee na watu wa vijijini.
 
Hivyo vyombo vipo na vimeanzishwa na mabwenyenye kusambaza propaganda zao duniani, hakina jema kwao linapokuja swala lenye manufaa kwa Mataifa hususan ya Africa, we angalia taarifa zao hukuti mambo mema ya Africa yakitajwa na ikitokea yanatajwa basi ujue kwenye jilo jambo kuna mzungu amejipenyeza

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu usiviangalie, ww angalia hizi media za hapa hapa kwetu ambazo 95% zinaisifia serikali.
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika upuuzi.

Mkuu Hasani Selemani Bakari, hapo kuna 2
1. Usikute hivyo vyombo vya nje havikualikwa kwa makusudi, hivyo japo tukio lenyewe lilitangwa live, mubashara, hivyo chombo cha habari usipoalikwa mahali, wengine wamealikwa, ni taarifa wenyewe wenye habari yao, hawakukutaka wewe kuripoti habari yao, hivyo hivyo vyombo vikatii kwa kutoripoti chochote.

Kama vilialikwa na bado havikuripoti, then sababu inaweza kuwa kana nilivyomjibu huyu mwenzako
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.
Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia
Mkuu Maneno Meier, kulisemea jambo usilolijua bila ya wewe kujua kuwa hujui sio kosa, ni wewe ni mjinga tuu, ukielimishwa ujinga unakutoka.

Kila chombo cha habari kina kitu kinachoitwa "mrengo", hii ni "news policy" ya chombo husika ambayo ina determine what is news kwao na what is not news. Vyombo hivyo ni international independent media, haziingiliwi kwa kupangiwa what is news and what is not news kwao.

Hivyo habari kubwa kwa mmoja inaweza isiwe habari kubwa kwa mwingine au isiwe habari kabisa!.

Kuna baadhi ya media, mtu kutimiza wajibu wake kwao sio habari, kuleta maendeleo ni wajibu wa kila serikali, hivyo kwao kilichofanyika ni wajibu wa serikali zote kutimiza wajibu wake na kwao hiyo sio habari.

Kwa familia ambayo kila siku wanakunywa chai na kiporo, na siku ambayo kiporo hakikubaki, wanakunywa chai kavu, siku baba wa nyumba hiyo akinunua mkate, that is news kwa familia hiyo, kuanzia mama atamshukuru baba kwa kununua mkate na hao watoto wa nyumba hiyo wanaweza hadi kusimulia kwa majirani kuwa baba yetu kafanya jambo kubwa la kuleta mkate nyumbani. Kumbe wao bila kujua hilo ni jukumu la kila baba kununua mkate wa familia yake kila siku, ni wajibu wake, is not news kwa wengine.

Natumaini baada ya elimu hii, ujinga wa kupangia watu what is news and what is not news bali ni kutimiza wajibu tuu utakuwa umekutoka.

Kwa sisi Tanzania, we are just too poor kiasi kwamba hatuna independent media nchini mwetu kwetu mtoaji mkubwa wa habari ni serikali,

P
 
Wakati mwingine punguzeni mihemuko, unapaswa ujue JF ni himaya imara sana, usichokijua wengine wanakijua, usichosikia wengine wanakisikia, humu hakuna mjinga zaidi ya mwenzake au mjuaji zaidi. Umekurupuka sana, Ujumaa ya tarehe 24, taarifa ya kwanza ilikuwa ni janga la nzige wamezungumzia taifa la Kenya na Ethiopia kuwa hatarini zaidi, taarifa ya pili ilikuwa ya Isabela do Santos, na taarifa ya tatu ilikuwa inazungmza suala la Tanzania kutiliana mikataba na hiyo Kampuni ya madini, sasa wewe ulitaka nini zaidi?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app
Chombo cha watu wa nchi nyingine, kinaendeshwa kwa kodi za watu wengine, unataka kukipangia habari za kutangaza?

Kwani Tanzania haina TBC?

TBC wameshindwa kutangaza habari za Tanzania mpaka kazi hiyo iwe wajibu wa BBC?

Unafahamu maana ya methali "Who pays the piper calls the tune" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?

Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.

Jana kumetokea tukio la kihistoria na lenye manufaa si kwa tanzania pekee bali kwa nchi zote za kiafrika zilizobarikiwa utajiri wa madini. Serikali imefikia makubaliano na moja ya makampuni makubwa kabisa duniani ambapo mkataba umeingiwa kumaliza uporaji dhahabu ya Tanzania. Vyombo mbalimbali vya kimataifa ambavyo hata panya akifa Tanzania vinafanya ni habari kuu vyote kimyaaa! Kulikoni?

Hatuwasikii BBC, VOA wala DW!
Lakini subiri punda achakatwe Tanzania usikie taarifa zao!

Lakini hakuna ambao wamegeuza Tanzania ndio habari yao kuu kuliko BBC! Hata mwakilishi wao ambaye huwa na kiherehere kutangaza mpaka vifo kimyaaa! Kimya chao ni ushahidi tosha siku hizi wao ni BIASED BROADCASTING CORPORATION.

De Informer: GUBE 9GB

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba ufafanuzi; ni kwa vipi Angola, DRC, Kenya, Uganda, South Sudan etc zitanufaika na huo mkataba uliouita ni wa kihistoria?
 
Back
Top Bottom