Current world's pop>7billion. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Current world's pop>7billion.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Oct 31, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Inasemekana mtoto aliyeifanya population ya watu duniani kufikia bilioni 7 alizaliwa dakika mbili kabla ya kutimia usiku wa manane hapo jana katika hospitali moja mjini manila nchini philipino.Hawa jamaa waliokuwa wakifuatilia hili suala,wametoka kifua mbele huku wakijidai kumgundua mtu wa bilioni saba duniani,je wanajua kwamba katika nchi nyingi zinazoendelea hasa maeneo ya mashambani(vijijini) wanawake wanajifungulia majumbani mwao bila hata data za watoto wao kuzaliwa kupelekwa hospitali?.Mi nadhani kujua ni lini population ya dunia ilitimia watu bilioni 7 ni jambo gumu sawa sawa kabisa na kujua jana ulisinzia saa ngapi,uzushi mtupu.
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wanalijua hilo, nadhani kuna ujumbe wanajaribu kuufikisha!
   
Loading...