zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,189
- 39,660
Mkuu janja yenu imefika mwisho ni suala la muda tu, Burundi mliwakandamiza bahutu tokea uhuru kwa miaka almost 40 ila meza ilipogeuka hamuamini mpka leo.Mpk wahutu wenzako wanajua intarahamwe ni jina lao la kuzaliwa na nalo na wala hawana tatizo nalo.
Watusi mixer na hao interahamwe wanasubiliwa kuliwa kichwa kama kawaida kama wanavyoendelea kudakwa kule maporini Congo.
Wakiweka Ugoko wanawekewa Tofali,interahamwe bana hahahah.
Nzi wa kijani mna shida sana nyinyi.Siyo mageni ila yana ukakasi, mtu huheshimu mamlaka, unakuwa msaliti msaliti na utegemee uachwe??? US, Russia, China wanaua wasaliti sembuse Rwanda, kwanini iwaache?????? Nchi haiwezi kuendelea kama ina wasaliti wa maendeleo.
Kama hayupo sinza basi atakuwa masakiNaamini haupo nchini kwako (Rwanda) wakati unarekodi taarifa hii, vinginevyo "ungefutwa" hata kabla haijatufikia JF.
Hii hapaCheck Na Burundi ingia BBC eyes on Africa uchek nyumba za Mateso Burundi uone mifereji imejaa damu za watu hii siri ndio iliyofanya Kurunziza aipige maarufu BBC Burundi.Ukimuona mtawala wa kiafrica peponi jua hio sio pepo.Wanawatendea waafrika ukatili wa hali ya juu kuliko hata mkoloni alivomtendea mabaya mwafrica.
Aisee hii mbaya sana, hasa chuki inayotokana na ukabila. Mungu ibariki Tz, bora siye twatukanana na tunaishia kucheka pamoja.Hii hapa
Mkuu janja yenu imefika mwisho ni suala la muda tu, Burundi mliwakandamiza bahutu tokea uhuru kwa miaka almost 40 ila meza ilipogeuka hamuamini mpka leo.
Wewe ni Mtutsi mwooooooooooopooongo. Kwa ulichoandika hapo juu huyu jamaa yuko sahihi mna roho mbaya sana nyie watu.
Mkuu janja yenu imefika mwisho ni suala la muda tu, Burundi mliwakandamiza bahutu tokea uhuru kwa miaka almost 40 ila meza ilipogeuka hamuamini mpka leo.
Hii hapa
Hii hapa
Nadhani unachonena kinaukweli ila hakina uhalisia: mimi sikuamini Kama qadaf angeangushwA KWASABABU alikuwa na wananchi wengi wanaompenda, vilevile hata baadhi ya marais wa nchi za afrikaa walikuwa wanampenda because alikuwa akiwasaidia. Ni ajabu kuwa aliamgishwa as if ni kiongozi wa wanamgambo. Nakushauri wakati ukofikiri kuwa hakuna anayemuweza Paul ufikirie kuwa nature ipo pia. Naamin hii video itakuongezea uelewa kama bado uelewa wako una room ya kuelewaKwa kujua community ya watusi ina influence kiasi gani kwa siasa za nchi yake search huko youtube kitu kinaiwa RWANDA DAY utaelewa hao watusi na PK wana mahusiano gani,na hao kupitia hizo events PK hao diaspora wanamchangia PK zaidi ya $250mil/year kufanikisha mambo yake.
PK anaabudiwa na community za watusi wenzake dunia nzima,hao watusi wanaolia lia mitandaoni wala hawana cha kumfanya.
Qadaf, sadamf na Mobutu walikuwa nao kama hawa, kwasasa wanajijua wenyewe
Popote pale utakapowapeleka ujue wataendelea kuimport sperm kutoka kwako, Mwwnyeji ataishia kucheza mayenu tu🤣Halafu tukifika kule tuhamishe wanawake tu wote tuwalete huku Bongoland. Wakirudi baada ya miaka miwili ukabila kwisha.
Kukamatwa kwa akina Sankara ni jambo nzuri sana kwakuwa inaonesha kuwa kuna attempts, trials are numbers iko siku akina sankara na akina rwigara hawatakamatwa. Hii ndo nature ya trialsHahah hao watusi wanaoungana na wahutu kupigana na Kagame ni wakina nani hao?Ni hawa mademu wakina Rwigara wakina Nyamwasa,warembo wakina Calxiste a.ka Major Sankara wanaokamatwa kama kuku hahah very funny.
Ina maana jamaa anategemea uungwaji mkono kutoka kabila lake pekee ili kusalia madarakani?Hahah unamuongelea Nyamwasa huyu ambae kwny chama chake cha RNC baada ya kubanwa khs ufisadi anaofanya akaamua kumuua/kumficha yule Ben huko Uganda mpk members wenzake kama mke wa Karegeya na wenzake kibao wakajitoa chamani ndio atafanya nini sasa.
Nyamwasa wala hana guts za kumtoa PK hata kwa 2% na wala hana Support yoyote ya Community za wanyalu zilizoko dunia nzima.Kwanini naongelea support ya Wanyalu dunia nzima?
Wkt RPA wanaanza kupigana kuikamata Rwanda community za watusi dunia nzima zilikua zinachangia mpk $3mil/month miaka hio na watusi dunia nzima from Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi,Belgium,France mpk US walienda kujoin RPA from kwenda frontline kupigana mpk engineers,doctors na kada zote huko vitani mpk wakakamata nchi,leo ni watusi wa nchi gani hao watakuja kum-join huyo Nyamwasa?
Kwa kujua community ya watusi ina influence kiasi gani kwa siasa za nchi yake search huko youtube kitu kinaiwa RWANDA DAY utaelewa hao watusi na PK wana mahusiano gani,na hao kupitia hizo events PK hao diaspora wanamchangia PK zaidi ya $250mil/year kufanikisha mambo yake.
PK anaabudiwa na community za watusi wenzake dunia nzima,hao watusi wanaolia lia mitandaoni wala hawana cha kumfanya.